Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Na wanawake walioolewa by the how do you fall in love with invisible ha ha ha
 
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Ukiwa kweli serious mwanamke huwezi kutafuta mwenza mtandaoni.
 
Hata sisi wanawake hatujambo.

Unakuta tunajua kabisa mtu ana mke wake lakini tunajidanganya kuwa sisi ni zaidi na tutajituma mpaka atahamishia majeshi kwetu.

Mda unaenda, unaendelea kuliwa weeee na ulivyo na kasi ya kumuachisha mwenzio mpaka kinyume cha maumbile unampa.

Siku zinaenda weeee mawasiliano yanaanza kukata, huduma nayo, mara paaa. Umeachwa.

Machungu na majuto yanaanza. Ndo mwanzo wa kuona sura ni pana na kutaka kudhalilishana.

Kila siku nasemaga wanaume ni wawindaji. I abidi kuwa na akili ya ziada kuepuka kuliwa ovyo ovyo.
Na sisi ndogo twala t
074bea37d5f70a377b0a4856799545d7.jpg
 
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Pole kwa yaliyokukuta
 
Muda mwingine mnatuweka negative side kwa machungu yenu
ukiona unamatatizo mengi yanakukuta wewe!
Jichunguze, wewe ndio tatizo..
Wanawake mmekuwa mkitumika sana..
Lakini matatizo yamekuwa yakiwarudia nyie wenyewe..

kuharibu ndoa, nyie mnaongoza..
wachawi, wengi ni nyie..
Roha mbaya,ukatili, nyie mnaongoza..

Ndio maana wanaume tuliambiwa na Mungu, tuishi na nyie kwa akili sana.
aliyajua matatizo yenu
 
mkuu ushaliwa uroda siyo kwa kulalamika huku! tatizo hujasimulia vzuri hadi kautam na alivyokukaa rohoni! Tupia picha mkuu tuone km hakukula urrodaa!
 
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Pole sana Mama mtarajiwa, bila shaka hukujua kama baba kijacho ana mke tayari, weka picha yake tumjue
 
haienei kweli pana kama barabara
Povu lote hili inaonesha ulishamweka moyoni na hiyo sura yake pana, ila nyie nawe huwa hamweleweki, tukiwa wakweli mkishaanza mahusiano siku nikikwambia niko na mama mwenye nyumba usinipigie wala kutext mnanuna wakati nilikwambia ukweli.
 
Back
Top Bottom