Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Teh! Hii imenichekesha....pole dada yangu,Kuna watu hapa duniani hawana huruma.
 
inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.
sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana.utasemaje? .jiheshimuni.mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu.usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon
Baelezeee hawa bazazi wasiokuwa na haya ngoja nikuitie miss chagga aje akusaidie
 
Duh, kwa hiyo vilevile unatutangazia kuna watia nia walioku approach! Ongera kwa hiyo hatua
 
Yooouuhh weee...! Watu washafanya yao...mmmhh kweli Dunia "Bahati Bukuku"
___________________________
Dunia haina Huruma
 
Back
Top Bottom