Wanaume mbona mnalalamika sana

Wanaume mbona mnalalamika sana

Wanawake wa leo ni zaidi ya ombaomba,... Mke usimsalimie tu, "Naomba hela nikale, nna njaa".... Mwingine anakuuliza baby nataka nikutembelee, nije lini,... Ukimwambia njoo, lugha inayofata "nitumie nauli".... Utajiuliza hivi huyu mwanamke anaishije kwa maisha ya vitonga... Aisee wanawake mmezidi mnooo,... Aibuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo yanawafanya mpige mayowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanalalamikia nn embu kuwa wazi.
Kama matatizo kila mtu anayo.. wanawae kwa wanaume wote wanalalamika.
Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana?

Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia?

Mnaboa kishenzi,

Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi

Bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom