Wanaume mbona mnalalamika sana

Wanaume mbona mnalalamika sana

Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana?

Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia?

Mnaboa kishenzi,

Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi

Bure kabisa



Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalalamika kwakuwa wanawake ndio chanzo wanachafua hali ya hewa jirekebisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo tunalalamika Ila kama ya kuolewa mnakuwa mmeshaliwa sana na Ku.... Sana so mkiwa mmeolewa hamuoni umuhimu wa ndoa mnawafikiria waliowakuna kabla ya kuolewa
 
Unajua wanawake wanapenda sana kuchanganya sukari na chumvi mtu unamuonesha kabisa hisia zako na kumwonesha kuwa unampenda mwisho wa siku anakusaliti unafikir malalamiko yote unaoyaona humu MMU si yametokana na hawa viumbe wenye mambo mengi kama mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhan Wanawake hawana malalamiko?

Asili tu wanaume hamridhiki

Msijifanye ninyi malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenichekesha sana..umeandika kwa ufupi na kwa kuchafukwa

Wanaume lawama bure kabisa!
 
JF ndipo naona-ga nyuzi za wanawake wanalalamika wanaume kulia lia lakini mtaani mbona ndiyo wanalia??


Au hizi nyuzi zinaanzishwa na wanaume wenzetu?
 
JF ndipo naona-ga nyuzi za wanawake wanalalamika wanaume kulia lia lakini mtaani mbona ndiyo wanalia??


Au hizi nyuzi zinaanzishwa na wanaume wenzetu?
Mtaani wanawake wanalilia nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom