Wanaume mbarikiwe sana

Wanaume mbarikiwe sana

Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
Hivi wewe si dume kweli? Hizi sredi zako sizielewielewi hivi. Ngoja Muha wangu Joannah akufuatilie, atatupa mrejesho
 
Inategemeana na uliyempata, sio wanaume wote wana ujinga kama huyo wa kwako. Kwa ushawishi upi kimada anisahaulishe hadi majukumu kwa familia yangu na nisiikumbuke! Semea kwa mwanaume mmoja mmoja na si including.
 
Back
Top Bottom