Ile umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
Teams wanaume wengine kukiwa na wageni hao hii jikoni kabisa eti analogous kuchekwa as if usiku analala nao hao wanzomchekaInategemea mahusiano yenu yakoje. Kuna nyumba nyingine mke na mme wanalala vyumba tofauti kwenye nyumba moja hiyohiyo! Kwa wapenzi, wanahujua ni kupenda na kupendwa yaani kupendana. Mwanamme akiwa na nafasi mbona hata kupika anapika na mkewe!
Hujafundwa. Ngoja housegirl akusaidieHii heading tu nikawaza hivyo hivyo...Yaleyale!
Hiyo ya kunawisha huwa inakera sana, kwa nini unawishe mtu mzima mikono?
Na haya ya kumpelekea kila kitu mezani kuna mtu alishauri kufanya hivi ili kuepusha mtu kutoka nje ya ndoa, mbona tuna kaxi!..
Nimeweka gazet mezan hapo, hebu nileteeNikuache tu maanake argument zetu hazifanani.
Nikifua mimi sawa, ila ukifua wewe alafu ukiweka popote nisipoziona nakuita utafute hatakama upo jikoni au wapi.Ingekuwa na utaratibu wa kufua socks na boxers zako weekend na kuzipanga kila socks na mwenzake usingeumia kichwa
Ni 99% watakuambia unataka haki sawa. Umesahau akivua nguo kwenda kuoga anaziacha pale aliposimama tena chini kabisa halafu hana hela hata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Haha nyie ngojeni tu muachikehaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Heaven Sent na Neybright njoon jaman kha hii nimechekaaaaaa !eti utafikiri unaishi na chizi!haaaaaaa
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Huna haja ya kuwa na mke. Haja yako ni mjakazi.Ulishawahi kukuta mahali mwanaume anafundishwa kua mwanaume?? kama nyinyi mlivyo na seminar kila mahal... lakn je, kwann wanaume wote wanatabia zinazo fanana? kawafundisha nani?
Hiyo n Nature... ama asili, ndivyo tulivyo umbwa, tatizo lenu kina mama mnajaribu mno tena kwa kias kikubwa to violate the nature, mnatoka kwenye asili, alafu mnalalamika mnataka mwanaume nae atoke, huyu mleta mada siku chache zilizopita alileta mambo ya kuosha vyombo, kudek, kufua, kuogesha mtoto, kupika nk.. real??? kuna haja gani ya mm kua na mke nyumban sasa???
Mambo ya kusaidiana yapo, lakin kwa zaid ya 95% ni maswala ya kusimama kwenye role yako, kama n baba au mama
remote ikwapiHuna haja ya kuwa na mke. Haja yako ni mjakazi.
Hujafundwa. Ngoja housegirl akusaidie
Umeikalia tehremote ikwapi
Hivi kwa nini hawaoagi tu house girls in the first place as wao ndo wapo perfect?Tehe!, kwa kweli. Halafu housegirls ndo huwa wanakazana haswa, kuwafanyia hayo na kuonyesha upendo ulotukuka...lol!
hata kuvua nguo uziache chini jaman !hv unashindwa nn kuiweka panapofaa hicho chumba au ni stoo! hapana my dear meng wanazid ! unaogea taulo limeloa unashindwa kutoka nalo ukalianike nje? humo ndan si mnatafta mauvundo jaman !eish hapana !
Hivi kwa nini hawaoagi tu house girls in the first place as wao ndo wapo perfect?