Wanaume......!!!!lol!!!some of u realy sucks....!!!

The way u treat a man...the way he will treat you! its very easy to get those kind of staff if u entertain a man! anakuona upo upo tu na ni rahisi sana kukutamkia chochote coz u never let him to respect you! kwa hiyo ni rahisi tu kwake ...Pole sana but tafadhali do not include all of US
Ngekuwa namentertain nsingekuwa na muda hata wa kuja hapa am a gal with principles na anajua misimamo yangu toka mwanzo...!!!!y anishushe kiasi hicho coz i think kama vile amenidharau sana eti "mke wangu hawezi kujua labda umwambie wewe...!!!realy???
 
Utapata woko usijali mamiiiiiiiiiii Shixi889
 
Last edited by a moderator:

Baada ya miaka kama mitano i met mwanaume wa kwanza kudate nae though wakati naanza nae mahusiano tulikua wadogo(o level)na ilikua btn 1998/1999 yeye akaiwa amenizidi darasa moja na alikua day school mie bording tena nje ya mkoa nlokua naishi...!!Honestly he is cute na sjui ndo maana anauhakika sana na kupata mwanamke yoyote??btw we broke up baada ya mimi kugundua anamahusiano mengine...!!!luckly enough hakuwa tumewai kukutana kimwili.

Kwa muda wote huo huwa na mawasilioano naye na huclaim kwamba mie ndo mwanamke wa maisha yake....!!!nlipofika chuo we got back together kwa mwaka mmoja na nligundua kuwa sikuwai kumpenda nkaamua kumwambia ukweli...!!Tuliamua kila mtu aendelee na maisha yake na akapata msichana ambae mpaka sasa wanaishi pamoja na wanamtoto mmoja.

Upande wangu am ok na maisha yanakwenda kama kawaida...!!!last month was my birthday na yeye aliniwish birthday njema katika charting akaniuliza na umri gani nkamwambia...!!!akadai sasa ni wakati wa mimi na yeye kutafuta mtoto...!!!Nkamshangaaa sana nkamwambia na mkeo je??akadai hawezi kujua labda wewe umwambie...!!!seriously...!!!nkamshangaa sana nkamuuliza tena una uhakika na unayosema akadai ndio...!!!!just to be clear he knows am a single gal..!!Hivyi kweli kabsa a real man can do that to his baby mama????au kwa vile nlimwambia umri wangu na akahisi am soo f**king desparate to have smbady....!!!

Hi young lady! I have a couple of questions to ask. How often do you communicate with him and who normally initiates the chat such as that on your birthday last month? Keep the answers for your self but my intention to ask you these questions is to alert you that chatting through sms with a married man is not a cute trick to keep your friendship with him safe, please stop.
 
soma hiyo ya s.fm maana as i can see it,that is how you are.
 
Last edited by a moderator:
unadhani ana mapenzi basi? anataka akuonjee tu.. since umesema hajawahi kukuonjaa! baadhi ya wanaumee hawaeleki.. ukimwendekeza anaezaa akakubebesha na pia kukuachaa.. kua makini!
 
Ngekuwa namentertain nsingekuwa na muda hata wa kuja hapa am a gal with principles na anajua misimamo yangu toka mwanzo...!!!!y anishushe kiasi hicho coz i think kama vile amenidharau sana eti "mke wangu hawezi kujua labda umwambie wewe...!!!realy???

Anyway...i dont know the way mnavyowasiliana! but that is the reality, kwa yeye ni rahisi kusema hivyo coz anakuelewa ulivyo! nimependa kwamba u have principles.....stand on that
 
Thanks mara zote yy ndio huanza mawasilino na mm....!!!sijawai kumtafuta cz nliamua kumove on!!!!
 
soma hiyo ya s.fm maana as i can see it,that is how you are.

I know ni vigumu sana kunielewa but huwa sina mazoea na wanaume wa watu au mtu yeyote nnaemwona ataniletea mizengwe katika maisha yangu...!!
 
Hi young lady! I have a couple of questions to ask. How often do you communicate with him and who normally initiates the chat such as that on your birthday last month? Keep the answers for your self but my intention to ask you these questions is to alert you that chatting through sms with a married man is not a cute trick to keep your friendship with him safe, please stop.
hey...!!though umeniambia i shuld kip the answers to myself but let me tel this katika mawasiliano yetu yote sijawai hata sikumoja kuanza kumtext or call him yy ndo huanza mara zote hata birthdy sikumwambia he found out thru my friends...!!mara nying sana naignore his cal n text but hachoki kunitafuta...!!
 
Kubip inaruhusiwa, issue ni kwa mwenye simu, kupotezea au kucall back
 
Nyie mnajuana bana..beside tatizo liko wapi jamaa kakupa offer ni either ukubali ama ukatae..nasiokusema sisi wanaume..we mwanamke tuvue

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hey...!!though umeniambia i shuld kip the answers to myself but let me tel this katika mawasiliano yetu yote sijawai hata sikumoja kuanza kumtext or call him yy ndo huanza mara zote hata birthdy sikumwambia he found out thru my friends...!!mara nying sana naignore his cal n text but hachoki kunitafuta...!!

If that is the case then my advice is that you please respect his marriage forever. That is, never attempt to accept any of his requests. The best way to do this is to always, at any cost, ignore his incessant calls, sms, and the like. However, this is only possible if you live to your principles and standards. Keeping quit is universally accepted as a polite and educated way of signaling or informing someone that you are not interested with his/her rap session. Keep quit my dear for the sake of your future lovely friendship with someone you adore more.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom