Shixi889
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 338
- 208
Baada ya miaka kama mitano i met mwanaume wa kwanza kudate nae though wakati naanza nae mahusiano tulikua wadogo(o level)na ilikua btn 1998/1999 yeye akaiwa amenizidi darasa moja na alikua day school mie bording tena nje ya mkoa nlokua naishi...!!Honestly he is cute na sjui ndo maana anauhakika sana na kupata mwanamke yoyote??btw we broke up baada ya mimi kugundua anamahusiano mengine...!!!luckly enough hakuwa tumewai kukutana kimwili.
Kwa muda wote huo huwa na mawasilioano naye na huclaim kwamba mie ndo mwanamke wa maisha yake....!!!nlipofika chuo we got back together kwa mwaka mmoja na nligundua kuwa sikuwai kumpenda nkaamua kumwambia ukweli...!!Tuliamua kila mtu aendelee na maisha yake na akapata msichana ambae mpaka sasa wanaishi pamoja na wanamtoto mmoja.
Upande wangu am ok na maisha yanakwenda kama kawaida...!!!last month was my birthday na yeye aliniwish birthday njema katika charting akaniuliza na umri gani nkamwambia...!!!akadai sasa ni wakati wa mimi na yeye kutafuta mtoto...!!!Nkamshangaaa sana nkamwambia na mkeo je??akadai hawezi kujua labda wewe umwambie...!!!seriously...!!!nkamshangaa sana nkamuuliza tena una uhakika na unayosema akadai ndio...!!!!just to be clear he knows am a single gal..!!Hivyi kweli kabsa a real man can do that to his baby mama????au kwa vile nlimwambia umri wangu na akahisi am soo f**king desparate to have smbady....!!!