Wanaume......!!!!lol!!!some of u realy sucks....!!!

kiss and tell

the only problem is the stinky hallucinations
 
Kashaona wee ni kuku wake, manati atumie ya nini?v

Kifupi unamlegezea macho.
 
Nyie mnajuana bana..beside tatizo liko wapi jamaa kakupa offer ni either ukubali ama ukatae..nasiokusema sisi wanaume..we mwanamke tuvue

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kama umesoma heading kwa makini sijasema wanaume wote i said some of you...!!!so maybe unahusika upande upi.....!!!
 
How old r u by the way? Ur age matters in making decision for this senario

Did i mention in anyway that i need to make decisions??@Mnyasambo i jus wanted to share with people how few men sucks so mentioning my age wont help...!!!!
 
Baada ya miaka kama mitano i met mwanaume wa kwanza kudate nae though wakati naanza nae mahusiano tulikua wadogo(o level)na ilikua btn 1998/1999 yeye akaiwa amenizidi darasa moja na alikua day school mie bording tena nje ya mkoa nlokua naishi...!!Honestly he is cute na sjui ndo maana anauhakika sana na kupata mwanamke yoyote??btw we broke up baada ya mimi kugundua anamahusiano mengine...!!!luckly enough hakuwa tumewai kukutana kimwili.

Kwa muda wote huo huwa na mawasilioano naye na huclaim kwamba mie ndo mwanamke wa maisha yake....!!!nlipofika chuo we got back together kwa mwaka mmoja na nligundua kuwa sikuwai kumpenda nkaamua kumwambia ukweli...!!Tuliamua kila mtu aendelee na maisha yake na akapata msichana ambae mpaka sasa wanaishi pamoja na wanamtoto mmoja.

Upande wangu am ok na maisha yanakwenda kama kawaida...!!!last month was my birthday na yeye aliniwish birthday njema katika charting akaniuliza na umri gani nkamwambia...!!!akadai sasa ni wakati wa mimi na yeye kutafuta mtoto...!!!Nkamshangaaa sana nkamwambia na mkeo je??akadai hawezi kujua labda wewe umwambie...!!!seriously...!!!nkamshangaa sana nkamuuliza tena una uhakika na unayosema akadai ndio...!!!!just to be clear he knows am a single gal..!!Hivyi kweli kabsa a real man can do that to his baby mama????au kwa vile nlimwambia umri wangu na akahisi am soo f**king desparate to have smbady....!!!

mhm u cnt blame a man for trying cn u? plus hawezekani akasema hayo just like that jamani inategemea na wewe umejjiwekaje
 
A man who is commited somewhere else...!!!!realy!!!imagine your in the same shoes...!!!!
 
well dpends on the woman....i mean hapo sijaona ukisema kuwa wapo married umesema kuwa wanaishi pamoja so she is expendable
na wewe itakuwaje akuombe akutie mimba unless kuna shady type of relationship btwin u twoo......jinsi unavyojiweka itakiwa sio nzuri ndio maana kaomba
 
My dia huwa sipendi kuwa na adui wa aina yeyote hata kama tuliachana kwa ubaya sina kinyongo nae...!!!y umweke mtu rohoni mwako wakati u can be happy without him...!!!

Hajamaanisha umuwekee kinyongo anahitaji uwe na msimamo. Shida vijana wengi wa siku hizi hamna msimamo.
 
Duuuh kumbe uko single, two singles make an album can we mingle......

Back to the topic inaelekea you still cross his mind anataka muweke bond

Mwenzio kakuuliza hivi (in red)

Tuweke bond while anamisha yake na mwanamke mwingine???

Wewe umeona hicho tu (in black)...HOPELESS!

The way u treat a man...the way he will treat you! its very easy to get those kind of staff if u entertain a man! anakuona upo upo tu na ni rahisi sana kukutamkia chochote coz u never let him to respect you! kwa hiyo ni rahisi tu kwake ...Pole sana but tafadhali do not include all of US

Something tells me u play a role in encouraging him kusema anachojisikia kusema. I still talk to my x's lakini kamwe..KAMWE..siwezi waambia hayo anayokuambia huyo wa kwako...na tena una CLAIM hamkufanya lolote...:nono:.something really wrong here..but mostly with you!!! CHECKMATE :yo:
 
hiyo ni mbinu ya kutest zali kama papuchi yako inaweza kuwa available kwake.......... halafu hapa kama kuna lots of entertainments kati yenu.
 
Mwenzio kakuuliza hivi (in red)

Wewe umeona hicho tu (in black)...HOPELESS!

Something tells me u play a role in encouraging him kusema anachojisikia kusema. I still talk to my x's lakini kamwe..KAMWE..siwezi waambia hayo anayokuambia huyo wa kwako...na tena una CLAIM hamkufanya lolote...:nono:.something really wrong here..but mostly with you!!! CHECKMATE :yo:

Mentor.....!!!!!am not hopeless jus cz sijamjibu alichouliza in red...!!!!katika thread nimesema tayari maybe hakusoma kwa makini which proves that u did the same....!!!!!sio kwamba najisifia ila am among the gals with serious principles i dont entertain my ex or any man that intend to play with my emotions....!!!!n thanks for your analysis that somethng is wrong with me u must be a genious to invent that.....!!!!!!!!!!:thinking:
 
Last edited by a moderator:
Men huwa tunajaribu usipokuwa serious uta fall into temptation. Kuwa Ngangari mpige kibuti cha maana hata kusogelea
 
Mentor.....!!!!!am not hopeless jus cz sijamjibu alichouliza in red...!!!!katika thread nimesema tayari maybe hakusoma kwa makini which proves that u did the same....!!!!!sio kwamba najisifia ila am among the gals with serious principles i dont entertain my ex or any man that intend to play with my emotions....!!!!n thanks for your analysis that somethng is wrong with me u must be a genious to invent that.....!!!!!!!!!!:thinking:

See again...ngoja nimsaidie bwana elmagnifico..
Amesema, "Yupo singo na yeye kama wewe ulivo singo...kama vipi mfanye kolabo mnaweza kutoa album!"

Sasa komenti juu ya hilo hatutaki uendelee kukomenti juu ya x wako...!!!
 
Last edited by a moderator:
Au unajilengesha lengesha???

mtindooo wa staki natakaaaa..
n u know he is really CUTE eeee...
(Kulingana na maneno yako lolz).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wewe ulitaka akae na wewe kama kaka yako au mmeo? ndo maana alikua anatoka nje japo alikupenda.
2. Ungekua humpendi usingekua unamfuatilia maisha kipindi chote hicho halafu usingekua surprised kusikia anataka umzalie mtoto wala usingeleta hiyo maada hapa. Hii inamaanisha maneno alokwambia yamekugusa na unayatafakari. samahani lakini. mia
 
Baada ya miaka kama mitano i met mwanaume wa kwanza kudate nae though wakati naanza nae mahusiano tulikua wadogo(o level)na ilikua btn 1998/1999 yeye akaiwa amenizidi darasa moja na alikua day school mie bording tena nje ya mkoa nlokua naishi...!!Honestly he is cute na sjui ndo maana anauhakika sana na kupata mwanamke yoyote??btw we broke up baada ya mimi kugundua anamahusiano mengine...!!!luckly enough hakuwa tumewai kukutana kimwili.

Kwa muda wote huo huwa na mawasilioano naye na huclaim kwamba mie ndo mwanamke wa maisha yake....!!!nlipofika chuo we got back together kwa mwaka mmoja na nligundua kuwa sikuwai kumpenda nkaamua kumwambia ukweli...!!Tuliamua kila mtu aendelee na maisha yake na akapata msichana ambae mpaka sasa wanaishi pamoja na wanamtoto mmoja.

Upande wangu am ok na maisha yanakwenda kama kawaida...!!!last month was my birthday na yeye aliniwish birthday njema katika charting akaniuliza na umri gani nkamwambia...!!!akadai sasa ni wakati wa mimi na yeye kutafuta mtoto...!!!Nkamshangaaa sana nkamwambia na mkeo je??akadai hawezi kujua labda wewe umwambie...!!!seriously...!!!nkamshangaa sana nkamuuliza tena una uhakika na unayosema akadai ndio...!!!!just to be clear he knows am a single gal..!!Hivyi kweli kabsa a real man can do that to his baby mama????au kwa vile nlimwambia umri wangu na akahisi am soo f**king desparate to have smbady....!!!

mmmhhh mbona hii stor imekaa kushoto zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom