Wanaume lini mtajifunza??

Wanaume lini mtajifunza??

One man's meat is another man's poison.

Some women do not lust after men's pockets na ndo maana mwanamme hachoki kutafuta mwingine.
 
Pesa ukose, hata ulimi laini nao ukose!??

Fact ni unless upo kwenye FORBES huko sisi wengine wote hatuna pesa.

boss kwani unadhani wanawake wote wanastihili mwanaume aliyekuwa kwenye forbes? kila mtukwa level yake.
 
hivi asiye na kitu hatakiwi kupenda au kupendwa?

Na wewe mwanamke unanipenda eti kisa nina kitu?

BTW, kipi humfanya mtu kumpenda mtu?
Vipo vingi;
Na kila mtu ana vigezo vyake, hata maskini pia ana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna ambao Pesa ndo kipaumbele chao, kuna ambao wanaangalia tabia, familia(ukoo/kabila), elimu, umbo/six pack au uzuri wa sura

Msingi hasa wa mapenzi ni:
1. Uvumilivu
2. Hekima
3. Busara
4. Upendo
5. Uwazi
6. Heshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom