Eti huna, mwanaume unakosa ata pumbu huyo atakuwa shoga sasa!Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
![]()
![]()
![]()
![]()
Na ndiyo maana wengine huishia kufanya vitu vya ajabu mara kulewa hovyo badala ya kujitafakari mwishowe anaenda kupata gugu zaidi ya lileHuwa kuna muda akili haitaki kuwaza chochote kabisaaa

YaaniNa ndiyo maana wengine huishia kufanya vitu vya ajabu mara kulewa hovyo badala ya kujitafakari mwishowe anaenda kupata gugu zaidi ya lile![]()
![]()
![]()
Acha tu unawahi kupata kitu kipya ili umkomoe huyo, badala ya kutafakari kwanzaYaani
Maisha huwezi yaelewa
Inategemeana na mazingira. Kuna ambao wanachukua muda mfupi kupata kazi, lakin wakikutana na mwanamke ambae si mvumiliv shida inakuwa kubwa.Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeongea ukweli....ukiwa huna kitu mwanamke lazima akuache....maana hiyo ndio hulka ya mwanamke
Hilo neno unakuta kapuku kabisa lakini anamiliki kifaa mpaka mwenye nazo anaona wivu na mihela yake, kuachwa inategemea na.nyama ya ulimiPesa ukose, hata ulimi laini nao ukose!??
Fact ni unless upo kwenye FORBES huko sisi wengine wote hatuna pesa.






kritikaaaaaaSorry nilikuwa namkusudia mtoa madakaka kaka. mimi sio K
Sina kitu umeniacha...kwa hiyo unataka nikienda kutafuta nikipata ndo ujirudishe kwangu?Mwanamke amekuacha kwasababu huna kitu, badala yakwenda kutafuta kazi we unaenda kutafuta mwanamke mwingine... What's wrong with u brother?
![]()
![]()
![]()
![]()