Wanaume, kwanini mnapenda kuoa mwanamke mwenye bikira?

kwa maoni yangu mimi kipimo kikubwa cha a real woman ni alietunza hekalu la Mungu..

Mtu aliepuka vishawishi ni kipimo tosha cha a die type of a woman..

mtu asiye bikira sio wa kimuamini hata 75%.. hebu fikiria kwa logic ndogo tu,,,,,Mtu hekalu lake tu aliepewa na Mungu kashindwa kulitunza...... Anaanzia wapi kutunza Moyo wa mtu mwingine kisa mume wake ?

labda aliyebakwa tu ndio anaweza jitetea

mimi mwenyewe sio bikira na sijiamini so naanzia wapi kumuamini asiye na bikira..

muonja haonjagi mara moja.. I am out..

kiukweli ningekutana na bikira ningemdekeza sana hata kama ukicheche aanzie mbele mbele..

ila hawa ambao wameshakaa kila mikao kabla hawajaolewa.. used wenzangu naenda nao kimwendo kasi tu... akisusa unasepa tu.. unaanzia vipi kumbembeleza mtu asiyejali hata hekalu la Mungu
 
Kwa zama hizi mambo ya bikira hayana mashiko, unaoa mtu anachojua ni kulala chali basi. Inatakiwa unaoa mtu professional katika sex field, halafu hawa mabikira wakiolewa wakaja kujanjaruka huwa wanazikimbia ndoa.
 
Pastor wangu alinifundisha kuwa, faida moja kubwa ya hiyo kitu ni kuwa kama wote wawili mtakutana mkiwa virgin, mtakuwa hamna past experiences kuhusu mapenzi, so mtajifunza kwa pamoja na hakuna atakayeona haridhiki coz hana pa kulinganisha. Kwa wazoeefu, mnaweza kuwa mashahidi, uko kwa bed na Zaina ila ili umalize ni lazima ulete stimu za Leyla
 
Mwanamke bikra anahadhi yake bwana,haya mambo yasikie tu.Kama hujawahi gonga bikra basi wewe ni domo zege.
 
Una ushaidi na usemacho?au unawazungumzia girls wa nchi/mkoa gani?
 
mmmh kitu uzoefu babu
hao wajinga wanaopenda bikra . mfanyakazi ili awe bora lazima awe na uzoefu na kazi.
ndo ukute mwanaume bikra unampa papu yako hadi asimamishe asubuhi inafika.. mi sitaki nataka mtu ambae amefanya mpaka amechoka style zote karudi kifo cha mende
Hiyo username yako inakufaa haswa.
 
Walio zoea kuvaa nguo za mitumba wana matatizo sana inamana hata mwanamke mnataka alie Tumika! Daaah mwanamke bikra ana raa yake nyie
 
Hamna bikira kwa Zama hizi za digital labda iwe ameitengeneza Na ukiingiza tu dushe breki unajua wewe mwenyewe uliye toa mada
 
Binafsi sioni umuhimu wa mwanamke bikra zaidi ya ufahari. Yaani kuonekana kuwa wewe ndio mwanzilishi.

Mkiwa kwenye 6*6 hakuna
 
nitaoa bikra over non bikra any given day....wewe mwanamke kashagegedwa gegedwa huko na migegedo sijui mingapi unadhani huyo kweli anaweza kuwa mke....tusitaniane bwana hapo hamna mke tena. ni sawa na mie mgegedaji eti nidanganye umati kuwa am husband material....u r husband/wife material kama wewe ni bikra if not then tayari ulishakosa sifa yakuwa mume/mke mwema.
 
Back
Top Bottom