Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

Wanawake wa siku hizi kupika ni kama adhabu yani hata akipika ni masimango matupu.Barmaid wanaburudisha lazima tule bar dadeki zenu.
 
Una bifu naye au ndo tumeambiwa tuache kuomba PM maana mwisho wa yote ndo haya makubwa madogo yana nafuu
 
Game lazima ziwe home and away, kwa hiyo na misosi pia.
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

Kweli Mama JJ. Wanaume wengi tuna tabia mbaya. Utaona mtu kidoleni ana pete kuuuuubwa ya ndoa ikimaanisha kuwa ana mke wake nyumbani lakini siku za mapumziko (Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu) anapata milo yote baa, kuanzia kifungua kinywa mpaka chakula cha usiku. Cha ajabu ni kwamba ananunua vyakula hivyo vilivyotayarishwa katika mazingira hatarishi kwa bei mbaya. We should be ashamed of ourselves.
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

Je njia mnapika nyumbani? kila siku mnawahachia ma mecury ( Hg) kupika chakula, alafu unataka nije nile chakula home? je kina utofauti gani na cha bar? mjirekebishe na muanze kuwapikia waume wenu nasi tutakula nyumbani
 
Punguza jazba na hiv vichwa ni vya nini? Vya watu au?................
 
Je njia mnapika nyumbani? kila siku mnawahachia ma mecury ( Hg) kupika chakula, alafu unataka nije nile chakula home? je kina utofauti gani na cha bar? mjirekebishe na muanze kuwapikia waume wenu nasi tutakula nyumbani

Haha haha haaaaaa You dont know thw value of a wife
 
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

nna wasiwasi kama ulishawahi kuonja msosi wa huko
Siku ukionja unaweza kuja na story ingine hapa
 
Wakianza kupewa masharti na daktari; usile chumvi, usile mafuta, usile sukari etc (God Forbid) wataanza kula nyumbani wenyewe....
 
Bar kuna huduma nying tofauti na nyumbani...baamedi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…