Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Wakati mwingine inatulazimu ingawa weng wetu hatupend hiyo tabia,Mwanamke badala ya kuamka mapema amuandalie Mme wake breakfast,anaamka saa 2/3 na inatakiwa huo muda uwe umeishafika kazin ulipoajiriwa au ulopojiajir,hapo unategemea nini?,Usingiz kwa wengine ni ugonjwa usio na tiba,Mwanamke unamnunulia unga wa ngano lakin ataacha kuaandalia chapat,mandaz,mkate au chochote kitakachofaa ataenda kukunulia vya Mgahawan au Hotelin,kitu ambacho wengine hatupend,ngoja bas tuvifuate huko anapovifuata,sababu nyingine ni mapish,Wanawake wengi wao hawajui kuandaa chakula vizur,wengi ni wachoyo au ukimuachia pesa ya matumiz unachokikuta ni tofauti kabisa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni wanaume wa Dar....

Sisi bara huku tunajali familia zetu....LOl
 
Miongoni mwa sehemu pendwa za kuweka limbwata ni kwenye chai,ndio maana wengi tunakunywa kwa mama ntilie
 
Sawa....

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka aibu watoto wenu wanakula wale kuku wa wiki 2 na mayai ya kuku wakisasa hapo mnategemea wawe na akili timamu hao watoto wenu mnatoa mpaka ofa huko

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Dah hatari sana ndo hivo .

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Hahahah, hiyo nazi lazima iive kwa lazima.
Wadada lazima wajifunze kujiongeza. Sie watu wanapenda mgahawa ila huo ubwabwa utapikwa utadhani umepikiwa kwenye mchanga
 
Hata kama upo ktk Ndowa usiamini na usiwaaminishe wengine kuwa furaha ipo nyumbani peke yake
Unajuwa kuna Mda inabidi ubadilishe mazingira chanya na watu wa mlengo chanya wa kufurai nawo
N B , hiyo (hilo) lifanywe na mwanaume tuu na si kwa mwanamke wala mtoto .

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sakayo ushaolewa?
 
Mkiacha kiburi/kero na kupika kwa kulipua lipua na on time basi chakula cha mke kitakuwa kitamu kweli kweli...wanaume tunaboreka sana na mke anayekwaza...embu jaribu kuwa simple usie na mauzi hlf pika on time ...ulete mrejesho

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahah, hiyo nazi lazima iive kwa lazima.
Wadada lazima wajifunze kujiongeza. Sie watu wanapenda mgahawa ila huo ubwabwa utapikwa utadhani umepikiwa kwenye mchanga
Haaa hatari unamfundusha ikibidi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usishangae [emoji250] kuwa juu ya mti jiulize nini kimempandisha [emoji250] juu ya mti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…