Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Nilikumiss pia aseeh. Sitaki kuamin Wahenga walikuficha acha niamini ni majukumu tu.

baba klaree.
Ni wahenga wala hakuna wengine

Umemuelewa lakini mleta thread?
 
Pole Geahabibu ....

Kuachwa kubaya. .. bahati mbaya ni kwamba ni asilimia 2 tu ya wanawake walioolewa wanaojua kupika. ... strange! !!!!
Jamani tunajua si % ndogo hivyo duuu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wao wana tabia hiyo yaan nimeona live kabisa mtu anaamka kwake saa tatu anaenda hoteli jiran kunywa chai ni haki hiyo kisa home kuna chai ya rangi ? Si maziwa yanunuliwe mnunue vitafunio mnywe wote,
Nikwambie familia nyingi za kitanzania wanaokula vizuri ni asilimia chache kwa wenye uwezo na wanaojielewa,kuna hawa sasa wana uwezo lakin kula vizuri mwiko,,,kuna ambao uwezo hawana kweli,,,
Chunguza hilo utaniambia
 
wanawake bana wanapenda sana kulalamika, sasa mtu kula hotel kuna tatzo gani?
 
Wanasingizia hivyo hebu waambie bana
 
Haya bwana tumekuskia na ulivyoandika kwa Uchungu umefanya nigeuze njiani ndiyo nilikuwa naenda kuianza weekend na Heineken.
Ha hanha mzee nenda kaache af nakuja kukupitia kumbe shemej amesharud enhee?
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ahsante umeongea uhalisia kabisa, mfano Mimi kila siku naondoka nyumbani saa 10 alfajiri, kama nikisema nipate breakfast home hiyo itakua ni daku sasa. Kikubwa ni kuijali familia yako kama unavyojijali na kuyatekeleza majukumu yako kama baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…