Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Kuna mazingira ambayo kweli yanafanya mtu ashindwe kunywa chai nyumbani asubuhi...

Sidhani kama kweli mwanaume anaweza kaa na kikombe saa kumi na mbili labda na nusu huku anatakiwa awahi ofisini, kwa mie pia Siwezi kabisaa.... Chai nanywa saa nne kazini nyumbani hata iwe tayari Siwezi....

Ni vyema tuu wawe wanashiriki chakula cha jioni na familia na kuhusu hela, mwanaume anaejitambua naamini lazima aache matumizi ya kutwa nzima na wengine hufanya manunuzi ya mwezi mzima.... Nasisitiza wapo wanaume wanaojali mnoo familia zao, suala la kunywa chai asubuhi kwa kweeli huwashinda weengi, halafu ukute maza house amelala beki tatu ndo anaandaa chai....
 
Yaani wewe ndiyo wa kunisuprise hivyo.

Geahabibu umewaona wanaofanya tusahau nyumbani eeh.
hahahhahhh
suprise attack....haahhah
haya kama ulikua unarudi nyumbani em uje hapa tupate heinken manake nilikumiss sana baba naniliu
 
wewe una akili sana sana yani sana, nimesoma comment yako mpaka nimetabasamu
 
Chai inakua tayari SAA 4,unakunywa na masumango kibao

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi umesoma mada ukaelewa?rudia hata mara tatu kusoma uelewe bahati sina nguo chafu leo za kufua
 
hahahhahhh
suprise attack....haahhah
haya kama ulikua unarudi nyumbani em uje hapa tupate heinken manake nilikumiss sana baba naniliu
Nilikumiss pia aseeh. Sitaki kuamin Wahenga walikuficha acha niamini ni majukumu tu.

baba klaree.
 
Hahaha Ela za vikoba na michezo mbona hamtaki Ku share

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona ivo ujue hajui kupika au ana kelele mob so bora kusogea pembeni for a break
Sio kweli ni tabia tu yakutojali familia kwanini unachopenda usimwelekeze mkeo mtu anaacha pesa kiduchu mke apike nini, mimi ukila huko na nyumbani lazima ule kama utaweka mpaka masikioni ni wewe na hizo tabia huanza pale pesa inapoanza kupatikana kabla no

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…