Wanaume kwanini hampo romantic?

Tupo Romantic ila kuna wakati maisha yanatuchanganya mpaka tunajisahau ,ila pesa ikiwa mfukoni tunakuwa swafiii tunapeleka wake zetu sehemu nzuri na tukifika sita kwa sita utafikiri nimezaliwa ulaya
 
hivi mapenzi ya mababu zetu uliwahi kuyaona aubhata kusimuliwa?

huku tanga ukipita nyumba unaskia wanaimbiana taarab ya mapenzi huku mume analishwa vhula baada ya kutoka shamba hoi..
anaenda kuogeshwa..anakandwa mwili..
huu wote ni uzungu?

hata kama majukumu mengi.
ili penzi lidumu tengeni mda wa kuwa pamoja..
 

Imba nyimbo zote usiponiimbia CCM selema, Magufuli selema sioni uromantic wako.
 
Tupo Romantic ila kuna wakati maisha yanatuchanganya mpaka tunajisahau ,ila pesa ikiwa mfukoni tunakuwa swafiii tunapeleka wake zetu sehemu nzuri na tukifika sita kwa sita utafikiri nimezaliwa ulaya
weee
 
Romance and kupiga mizinga have an inversely relationship!

The higher the 'kupiga mzinga' the less the romance, and vice versa is tru!
 
Hebu tafsiri maneno yafuatayo kwa kiswahili tupime uromantic wake:-

● Baby I really feels you

● Honey I hv been missing you

● Sinyorita...ll u buy some roses for me tonight? (Lugha ya picha hiyo)
Sinyorita ni wanawake wanapenda kujisikia sana alafu ukimwangalia wala sio wazuri maringo tu mi sinyorita siwapendag wanapenda sana maua siwataki kbs labda itokee bahat mbaya asubuh nijikute nimelala nae wanapenda maua sana mambo ya kuleteana nyuki ndan sipend mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo wewe hauna mchango wowote kumfanya mwanaume awe romantic!

We endelea kuangalia tmthilia za Masanja, wakati mwenzako anamrusha aliyemsaliti.
 


aggyjay hivi unaota au, kumpenda demu wa kibongo, hawa wasiopendeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…