Wanaume kutovaa chupi ndio habari ya mjini

Wanaume kutovaa chupi ndio habari ya mjini

mwanaume asiye vaa boxer atakuwa mwanaume wa mkoa flani hivi... maana walianza kina dada kutokuvaa chupi,,! we mwanaume mzima unatembea mku**** wazi utakuwa unamatatizo au ndio biashara matangazo...?
 
Wasiovaaa chupi wengi ni vibamia.....
Hivi Mimi kwa kwa lungu hili nililonalo nisivae chupi aisee mbona nitaadhilika na Tz hii kulivyo na watoto warembo walioumbika si balaaa tupu uko njia
Hapo nakuunga mkono mzee km hujavaa pupi unaweza usiinuke kwenye meeting faster hsa ukutane na challenge za vimin thn full kukunja nne,utajuta kwa nn hujavaa pupi kitu kinavimbia chini ya zp haloo
 
Aisee. ...Ndio maana siku hizi tunaona maumbile nje nje. ....

Kama una mtarimbo, utaachaje kuubana sasa?
 
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.

Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha mkandamizo wa sehemu hizo muhimu na kusababisha joto kali. Kuwepo kwa joto kwenye anga hizo hupelekea tatizo la Low sperm count. Ukiwa na tatizo hili kwako kupata mtoto itakuwa ni ndoto.

Usipovaa chupi, viungo vinapata hewa ya kutosha na kukupa burudani.
Chupi ninazoongelea ni zile ambazo sio boxer au bukta.
Kwa mtoto wa kiume chupi mwisho darasa la7
Sekondari utachekwa
 
Mimi pia huwa sivai kabisa ndio maana ziko nyingi sana,nilikuwa sijafahamu kuwa inachangiwa na haka ka utaratibu kangu.
 
Ukiona mbwa yeyote yupo caged and chained ujue mkali mbwa koko wote utapishana nao barabarani wala hawakudhuru.
 
haaaa ngoja waje watuambie

nilifikir hamvai kabisa nikashangaa kwelikweli


Bujibuji katika ubora wako. Ngoja nianze kujifunza ili niwaambie na ndugu zangu.
Joto Kali Dada.... Hamna kuvaa kyupi mjini inasababisha michubuko....
Wanaume Wa dar es salaam
 
Back
Top Bottom