Wanaume kutovaa chupi ndio habari ya mjini

Hahaha, kuna jamaa ana chupi kibao hapa mtaani....yan akifuaga kamba nzima inajaa. Mtu kama huyo akikutana na thread kama hii sijui anajisikiaje.
 
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.

Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha mkandamizo wa sehemu hizo muhimu na kusababisha joto kali. Kuwepo kwa joto kwenye anga hizo hupelekea tatizo la Low sperm count. Ukiwa na tatizo hili kwako kupata mtoto itakuwa ni ndoto.

Usipovaa chupi, viungo vinapata hewa ya kutosha na kukupa burudani.
Chupi ninazoongelea ni zile ambazo sio boxer au bukta.
Kumbeee mwenzangy nimeshangaa now dys ni bukta tuu naona zikijichoresha kwenye suruwale mpk za vitambaa mtu anatia mpukta mwingne sijui bukta ya jinsi anavaa ndani sasa hiyo dzain inayotokeza mii hoooi
 
Wasiovaaa chupi wengi ni vibamia.....
Hivi Mimi kwa kwa lungu hili nililonalo nisivae chupi aisee mbona nitaadhilika na Tz hii kulivyo na watoto warembo walioumbika si balaaa tupu uko njia
 
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.

Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha mkandamizo wa sehemu hizo muhimu na kusababisha joto kali. Kuwepo kwa joto kwenye anga hizo hupelekea tatizo la Low sperm count. Ukiwa na tatizo hili kwako kupata mtoto itakuwa ni ndoto.

Usipovaa chupi, viungo vinapata hewa ya kutosha na kukupa burudani.
Chupi ninazoongelea ni zile ambazo sio boxer au bukta.
Mkuu sisi wengine tumeumbika ujue, halafu tunapenda kuchomekea, sasa tusipovaa vyupi itakuaje pale mdada ambaye naye hajavaa kyupi akakatiza mbele yangu! Mkono wa mtoto unaweza kuonekana ikazua mtafaruku!
 
Wasiovaaa chupi wengi ni vibamia.....
Hivi Mimi kwa kwa lungu hili nililonalo nisivae chupi aisee mbona nitaadhilika na Tz hii kulivyo na watoto warembo walioumbika si balaaa tupu uko njia
Una rungu dawa ama silaha ya kujilinda?
 
Mkuu sisi wengine tumeumbika ujue, halafu tunapenda kuchomekea, sasa tusipovaa vyupi itakuaje pale mdada ambaye naye hajavaa kyupi akakatiza mbele yangu! Mkono wa mtoto unaweza kuonekana ikazua mtafaruku!
Mwanaume umeumbika?
 
Sisi wamasai tulishalijua hilo...chupi wavae hao hao wazungu. Ukivaa chupi ndio unaleta ukibamia.
 
Back
Top Bottom