Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

Jamani K uninyime na pesa pia uninyime? Jamani hebu tupendane basi wewe una vyote Mimi Nina dushe tu hapa
 
Hiyo tabia imeenea kila mahali kumbe! akina baba eti wanataka hata vinywaji wanunuliwe, mara nasikia wanaomba kukopesha elfu hamsini, inatisha! wanaume ni vema kubakia mwanamme usiombe ombe kwa mpenzi wako
 
Back
Top Bottom