mangi jr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 291
- 250
Wakati mwingine unakagua kama zipo maana kuna waganga washenzi kweli unaweza kukuta anajaribisha kuona dawa zake zinafanya kazi.
Kwa wakazi wa moshi wanapafaham shule ya msingi mawenzi karibu na msikiti wa wahabi karibu na double road kuna kipindi waganga wa jadi huwa wananadi biashara zao. Kuna siku jamaa mmoja alikuwa anazipinga dawa hzo dawa akawaambia watu kuwa hazina uwezo wowote. Mganga alichofanya kujitetea alimgeuza jamaa sehem zake za siri kutoka dushe mpaka papuchi. Jamaa alikuwa analia kama mtoto mdgo. Alikaa hpo mpaka mganga alipomaliza kazi yake akamrudishia mali zake na kumpa onyo. Asirudie tena kuponda dawa zake.
Nakumbuka wakati naondoka hapo ilibidi na mimi nizikague zangu zipo.