Wanaume kushikashika sehemu za siri ni kwa nini?

Huwa tunashika shika sisi wenye matango aka mahogo ya jang'ombe, wenye vibamia mada hii haiwahusu.
 
nanilliii inakuwa imekaa upande au mebanwa na boxer.... kwa wale wanaovaa pichu nakuwa imetoka nje ya pichu wanarudisha.... au imekaa upande mbaya ndiyo maana wanashika... au wanawashwa

wewe ndo uko sahihi kabisaaaa mie naiweka sawa Mara tano kwa siku wakati mwingine inahitaji kutulizwa usishitakiwe kwa uzalilishaji pale ambapo wakina Dada wanatufanyia makusudi kwa kuonyesha nyeti zao.
 
mimi ni shushu acha kabisa
 
nanilliii inakuwa imekaa upande au mebanwa na boxer.... kwa wale wanaovaa pichu nakuwa imetoka nje ya pichu wanarudisha.... au imekaa upande mbaya ndiyo maana wanashika... au wanawashwa

naona umetoa maelezo marefu sana in details, umejuaje wakati hiyo si jinsi yako, au...kuna mambo ambayo unataka kuyaweka wazi tuyajue.
 
Na kuna wanaovaa chupi za kike, hao sasa wana kazi nzito hasa wanapokutana na chupi za kamba!

Kila wakati unashika p.umbu tu kuzirudisha kwenye 18!
 
Hivi upo?I miss you my dia shemeji.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani wtz tunapenda ngono ikianzishwa mada km hii haibanduki ukurasa wa kwanza mwez mzima!
 
Back
Top Bottom