Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,276
Kama huyu View attachment 166688
sasa huyu atakuwa anaweka mashine vizuri ilichomoka au anajikuna???
Kama huyu View attachment 166688
Utakuta
mwanaume yuko barabarani au sehemu yeyote wanapenda sana kujishika
sehemu za siri. Hata wasanii wakiimba pia.
Utakuta mwanaume yuko barabarani au sehemu yeyote wanapenda sana kujishika sehemu za siri. Hata wasanii wakiimba pia.
Wakati mwingine unakagua kama zipo maana kuna waganga washenzi kweli unaweza kukuta anajaribisha kuona dawa zake zinafanya kazi.
Kwa wakazi wa moshi wanapafaham shule ya msingi mawenzi karibu na msikiti wa wahabi karibu na double road kuna kipindi waganga wa jadi huwa wananadi biashara zao. Kuna siku jamaa mmoja alikuwa anazipinga dawa hzo dawa akawaambia watu kuwa hazina uwezo wowote. Mganga alichofanya kujitetea alimgeuza jamaa sehem zake za siri kutoka dushe mpaka papuchi. Jamaa alikuwa analia kama mtoto mdgo. Alikaa hpo mpaka mganga alipomaliza kazi yake akamrudishia mali zake na kumpa onyo. Asirudie tena kuponda dawa zake.
Nakumbuka wakati naondoka hapo ilibidi na mimi nizikague zangu zipo.
Utakuta mwanaume yuko barabarani au sehemu yeyote wanapenda sana kujishika sehemu za siri. Hata wasanii wakiimba pia.
Sasa unashangaa nini mrembo wangu?lolest....NDIO
Ni kweli malkia wetu, maana siku hizi vibaka, mbwa mwitu, panya road na majambazi wengi mno...Anakagua kama mashine ipo
Unajua wakati anaruka kudaka mpira ilikaa mshazari, sasa hapo anairudisha sehemu yake lakini siyo kujikuna huko. Nisawa na wanawake tu wanavyoweka matiti yao vizuri pale yanapotoka relini...Kama huyu View attachment 166688
Ni ukaguzi kama ...ina charge ya kutosha!!