Wanaume kuogopa wanawake

Kusema UKWELI.
Mwanaume ni kweli kuwa muoga kumuoa mwanamke aliye mzidi kimali,biashara,na majumba.
coz,wanaume wanachohofia ni kwamba
wewe mwanamke utakuwa juu zaidi ya mwanaume na utapaza sauti juu yake,so mwanaume kama mwanaume atajisikiaje?
Atahisi shame.Na ndipo utakuta ndoa hakuna.But hili swala wanawezana wazungu but not waswahili wa bongo uswazi mbona utakoma huyo mwanamke kwa mashoga zake.
 
If i may ask iv kutokuolewa ndo mwsho wa maisha?? Vichaa je au wagonjwa wa kudumu wao hawana maisha?mfano mtu aliyepararaiz mh,....
 
Tafuta hela bebi ukipata nyingi niPM nikuoe mm siogopi wenye hela ndo nawataka.
 
I heard story a lady sold her house so that she doesnt intimidate her husband. Tena akabadili aina ya maisha akawa "very homely" kama wanavyosema kule Nigeria.

Hii mambo ipo.
 
Hulka na tabia ya vile/wale wanaoitwa dume ama wànaume duniani kote havipendi kutawaliwa na ..KE
 
Ukimzidi mwanaume kipato utakuwa hautoi papuchi vizuri, ukiniuliza kwa sababu gani nitakwambia, ngoja kwanza nimrudushie Mteja chenji.
 
Mnadharau sana ndio utasikia mwanaume suruali
 
Interesting story, but, wanaume hawaogopi kumuoa mwanamke mweny mali zake, lahasha, kinachofanya tusiwaoe ni udhaifu mlio nao, ukiisha pata unajikweza na kumshusha mumeo, unamdharau, utasema wa kazi gani huyu akati familia naitunza mim. Muda huo uko na mashoga zako wasiokuwa na akili kama wew mnatetana habar za familia. Wew jenga, nunua halafu ukatafute mbunge au waziri au mfanyabiashara kama akina manji mtaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…