Wanaume kuogopa wanawake

WANAWAKE mkiwa na fedha mnaleta nongwa sana na dharau kwa wanaume zenu so hakuna atakae kuoa kwa hizo plan zako utaishia kujichomeka chupa tu
 
call me!
dah! ni raha iliyoje unamdu uko ndani ya nyumba yake kitanda chake, umeshiba msosi wake lakini hadi unasikia mkwala wake wa vilio uchwara!
Call me...tuweke mambo sawa kisha nikusubiri ujenge!!
 
 
 
Katika jamiii yetu ya kiafrika Ili ndoa iendelee kudumu mwanamke hatakiwi kumzidi mwanaume chochote katika vitu hivi; pesa, elimu na umaarufu
 
Hahahahahhh.. Hiyo hata Mungu hapendi.. Ni fedheha kwa mwanaume kuhemea fedha ya mwanamke.. We jenga alafu mtafute alive kuzidi akuoe.. Vilevile hela ya mwanamke inamasimango mpaka sio vizuri.
 
mi siwezi kukuogopa hata uwe milionaire sema kuishi kwako siwez! bora tupangishe hiyo nyumba ili tuanze kuhustle pamoja
 
gari na nyumba ni indicator ya uchumi wakati wala sio maisha ya juu, mwanaume hawezi kuogopa hilo... mwanaume achoogopa nipamoja na maradhi,au tabia ya mwanamke unaweza ukakuta huyo dada anajichukulia like an angel ila kiuhalisia nikituko hapo atahisi kwa7bu anakipato cha kati wanaume wanamkimbia kumbe hajajichunguza kasoro zake
 
Pambana Mama usimsikilize huyo. Ankukatisha tamaa. Si kila aliyekuwa karibu yako anapenda maendeleo yako. When u meet him u will know. Be humble and yourself no matter how successfully u get just stay humble!
 

well noted.
 
Jibu la swali lako umelishalitoa mwenyewe

Katika sentensi isemayo
Nanukuu

"Mimi sijapata mwanaume atakaenifaa wa kuendana nae"

Hivyo wanaume hatuogopi wanawake Bali wanawake Wenye pesa wanachagua sana wanaume wa kuishi nao mpaka anakosa mwisho wa siku analeta hizo habar kwamba anaogopwa,

ila
Ukiwa na heshima, Imani na ukimcha Mungu, jua nafasi ya mwanaume kwako aaah utaolewa faster
 
Kuwaa na mwsnamke. Mwenye pes ni mateso sana mnoo hata ujue kumpaa bao mia ila if UA not stable kiuchuki nitatizo
Wanawake wenye pesa hupataga kama ukichaa flan wa maamuzi
Maana in nature mwanamke ni mashauzii sasa ukipata na pesa ndo yanazidi
We tulia na pesa zako me ni mume bora ila natafuta kwanza nikizipata ntakuja kukifata but kileleni utafikishwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…