Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Jamani maisha yamebadilika sijui kwa nn siku hizi ukiwauliza wanaume wengi wataoa lini wamekuwa watata sana kueleza lini wengi wanasema wanaishi kisela,ndio kusema siku wanawake wanasumbua au nn????mfano mzuri tuna wasanii wengi wa muziki wa kizazi kipya wanaume ukiwauliza suala la kuoa wanasema wajipange kwanza hivi tatizo ninini hasa japo kuna wanawake wenye tabia kama hizi.