Wanaume kunani?

Wanaume kunani?

Labda hakuna wakuoa sasa watajioa wenyewe?
'
Kwani kuoa ni lazima?
Sosi: Kiranga !!!!!!!!!!!

Labda tu nikujibu swali lako la pili:
Swali lako utajipatia jibu zuri ukilijibu swali hili:- Kuoa SI lazima kwa mtazamo gani?
 
Last edited by a moderator:
very good; na wewe!?


M good namshukuru muumba!!!!!!!!!!!!

Majanga tu mara huyu risasi,huku drugs yaani tafrani tu mpaka natamani niweke pause kwenye ukuaji wa watoto mpaka hali iwe shwari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom