Warren T
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 664
- 409
Wewe kwa kasi uliyokuja nayo bado kidogo sana utakuwa mods!!Hahaha loh roho mbaya,naonaga hvo vyeo bt sielewagi em nieleweshe

Ukifika miaka 35 tutataka mrejesho wa huu uzi wako.H
Ahahahaha habari ndo hiyo
Hahaha loh roho mbaya,naonaga hvo vyeo bt sielewagi em nieleweshe
Una miaka mingapi? Ukifikisha 35 utaelewa jinsi ya kujirekebisha hayo matatizo madogo madogo unayolalamikiwa....Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?
Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.
Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.
Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.
Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.
Habari ndo hiyo.
Una miaka mingapi?Ngoja ukifika 33 hivi ndipo utakapojua ulichokiandika hapa.Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?
Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.
Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.
Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.
Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.
Habari ndo hiyo.
Mkuu sasa nimeanza kuelewa kwani ungalic"single" hadi sasa!!!!Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?
Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.
Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.
Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.
Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.
Habari ndo hiyo.
Tunajifanya kuwasaidia au Tunawasaidia?Hah
hahahahaha usilo lijuaa, mm mna niudhi kuji fnya muna tusaidiaa sanaa kutu oa wakati hata nyinyi muna shida ya kuoa. Ngoma droo
Hahahh mama LA mama umetishaaTena wakome kabisa qmamae
TunasaidianaTunajifanya kuwasaidia au Tunawasaidia?
Umeona madam eenh washa elewa japo wanajifanya wabishiwatajifanya hawaelewi ila wanaotisha, wanaotishwa wamesikia wamekuelewa wataamua wabadilike au wawe hivyohivyo
Sawa sasa sjui ikawajee nikawa senior kwa siku moja lolHahahahah, sinaga roho mbaya hata kidogo. Binafsi sijui vizuri, nachonaga ukijiunga unakuwa member, senior member, JF expert member and finally gold member, Kutoka member hadi JF expert unapanda kwa kupost lakini kufikia gold au bronze member kuna kulipa nadhani. Wanaojua watanisaidia pia, sina hakika na vyeo vya humu saaaana.