Wanaume komeni kututisha

Wanaume komeni kututisha

Mtoa mada ni wewe ulimpiga yule jamaa 40,000/= akaja kusema umejiharibia?
Hahahahaha atakuwa ni yeye. Na ukiangalia jamaa alisema alikuwa na mipango naye mingi tu.
 
We sijui nikupige kibao cha uso,umeniudhi sana i swear,embu rekebesha kauli zako za ajabu ajabu hivi mtoto wa kike unakurupuka tu kuongea mashudu.
 
yaani hili limekukwaza hadi umeamua kuwa member utoe ya moyoni....
 
Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
Sasa ndo nimeiaghilisha mazima na sikuoi kweli. sasa ivi sikutishi maana kwa hii kasi uliyoanza nayo unaweza kunipanda kichwani tukiwa kwenye ndoa.
 
Pole kwa kupigwa chini. Sasa wewe hata hamjiani vizuri siku moja tu unaanza na mambo ya buku 40,000??
Sisi wanaume Hatuhitaji sana ndoa ndio maana tunaweza subiri mpaka miaka 40, nawe jaribu uone shughuli yake kama kweli hauhitaji ndoa zaidi yetu.
 
ila kuna watu humu ni bendera fuata upepo sana. yani wa kwanza kasema mgeni basi comment kama kumi za mwanzo ni ugeni tu. si lazima kila thread uchangia jaman..

Narudi kwako mleta mada, ukizingua lazima uachwe tena siyo kutishiwa labda umtembelee mwenzako kwa magoti (rejea hesabu za sensa)

ukiona ye anazingua nawe tembea tu kama vipi. Hapa kila mtu anaangalia maslahi yake, hii ishakuwa biashara siku hizi hakuna kuvumilia hasara.
 
embu jioe mwenyewe uone kama mwanaume hakusaidii akikuoa... unajidai hutishiki wakati we ndo nambari moja leo kesho unaomba uolewe.... na wasiwasi unamizinga sana ndo maana unakimbiwa....
 
Hah
embu jioe mwenyewe uone kama mwanaume hakusaidii akikuoa... unajidai hutishiki wakati we ndo nambari moja leo kesho unaomba uolewe.... na wasiwasi unamizinga sana ndo maana unakimbiwa....
hahahahaha usilo lijuaa, mm mna niudhi kuji fnya muna tusaidiaa sanaa kutu oa wakati hata nyinyi muna shida ya kuoa. Ngoma droo
 
Back
Top Bottom