Wanaume komeni kututisha

Wanaume komeni kututisha

Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
Kuna kila dalili 'ShemLao' hasomeki Binam.
 
Mtoa mada naona anajitekenya mwenyewe anacheka, mara ya mwisho nimecheki kila mwanamke niliyewahi kuwa nae au niliyemtongoza aliniuliza swali hili UNAMPANGO GANI NA MIMI mwenye kuelewa atakuwa ameelewa na mwenye kubisha abishe tuu maana hakuna namna.
Nyokolikooo
 
Avatar yako imenata na uzi, wengine wakiogopa wanalia,wakigundua walitishwa wananuna ila wanasahau kufuta machozi,, wakishituka hawakuyafuta yanakuwa yashawachubua....masikinii!!!
 
Ushimen usome hii na uache kumsimanga huyo X wako. Wewe hao watoto ulizaa na nani?
 
mleta mada lazima atakuwa ana miliki mashine ya nafaka .( ..........)

una mawazo mgando sana, sifa ya mwanamke ni kuwa mnyenyekevu pasipo kushindana na mwanaume
 
Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
Lugha gongana.
 
Asante sana,.nimetoka kumwambia mtu jana hii inshu,.binafsi siwezi kuolewa na mtu ambaye anadhani ananifanyia favor kunioa nataka mtu ambaye atanipenda na anahitaji tujenge family pamoja, no hayo Tu
 
Kama nyie mnavyoona kwamba ktk mahusiano MEndio anashida sana na papuchi kuliko nyie na dushe,that's why mnakuwa mnaringa ringa.

So calm down,isome namba vizuri kama jamaa kakutosa.
 
wapo wenye ababu zao na wanao hitaji hizo ndoa, ww kama umepigwa na chini endelea kujifariji, but ndoa ndo hukamilisha furaha ya maisha ya mwanadamu
 
duuu hayo maneno ya mkosaji akishakosa anakuwa mpondaji
 
wapo wenye ababu zao na wanao hitaji hizo ndoa, ww kama umepigwa na chini endelea kujifariji, but ndoa ndo hukamilisha furaha ya maisha ya mwanadamu
Na ww umefikiri kbla ya kuandika huu uharo wko???ndoa zp unazozizungumzia???za karne hii hii ya 21au??wtu kuona leo kesho talaka?furaha ilobak dunian ni pesa na wtt bac huna hvi sbr kufa tu!!!me cio baba na wa c mama mfyuuuuuu!!!!
 
endeleeni kujifariji najua umri ushakata ringi na mume huna wacha tule raha zetu na wanaojiheshimu, pumbav
 
Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
SMS ifike kwa jinamizi moja linapitaga humu,
 
Back
Top Bottom