Wanaume komeni kututisha

Wanaume komeni kututisha

heee umejiunga leo tu umeingia na moto hivyo?! ............. halafu umeandika kimakonde, unafikiri wote humu ni wamakonde.

Amejiunga JF jana na jana hiyohiyo akawa JF senior member pamoja na Kiswahili chake cha kuungaunga. Huyu siyo bure ana ushirika wa karibu na mods. hohohohohohoo!
 
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Precisely
 
Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
Ha ha haa, lakin simfano wa mwanaume but original taste utabaki kuiitamani hata kama utatumia hizo mambo!
 
Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
watuache dido zinashuka bei kila siku
 
Na ndoa ataisikia kwenye bomba,muwe wapore kwenye mahusiano kudadadeki......................!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jiwe jeus una mambo. Sie hatutak mashndano and mie naamini ktk bible kwamba mwanaume n kichwa but nyie mwataka kujifanya wajanja zaidi.
Mkiambiwa ukweli mnapanic.
Nature ilitufanya tuwe hivyo na ninyi toka enz kuto kujua haki zenu basi tulikua tunatamba balaa. Ila baada ya gender and dvt, women and dvt wanawake siku hiz mmekua tatizo inanonekana nikama mnalipiza kisasi. Kumiliki mwanamke mmoja siku hz ni bora kumi enzi za babu zetu maana hamskii zaman mwanaume akikosea badala ya kuomba msamaha yeye ndio anaombwa msamaha siku hiz duu
 
Uonevu sana. Ningepewa talaka hata kabla ya mume wangu kunifunua.
 
Back
Top Bottom