miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
wale wamerithi pesa za baba zaoHa ha haa mbona wenzenu wa magharibi wanatoa nakusimamia out sana tu!
wale wamerithi pesa za baba zaoHa ha haa mbona wenzenu wa magharibi wanatoa nakusimamia out sana tu!
Asante kakole nakujaanjoo nikuoe achana na hao wanaokuzingua
......aaaaah! acha nijiokotee embe dodo chini ya mti wa mwarubaini, karibu sanaAsante kakole nakujaa
Dada mbona unaongea kwa kigugumizi kikal namna hiyo angalia usije ukaua mtu maana watu wenye vigugumizi kwa hasira hamjamboHivi nyie wanaumee zina watosha kweli?
Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.
Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.
Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.
Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.
Habari ndo hiyo.
Haya maneno yako Kweli....!???Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
Hahaha walaa watu wengine tuna charisma.Amejiunga JF jana na jana hiyohiyo akawa JF senior member pamoja na Kiswahili chake cha kuungaunga. Huyu siyo bure ana ushirika wa karibu na mods. hohohohohohoo!
Hahaha walaa watu wengine tuna charisma.
Hahaha loh roho mbaya,naonaga hvo vyeo bt sielewagi em nielewesheHahahahahah! Kidogo niripoti Takukuru kuhusu ufisadi wa kupandishwa cheo ghafla JF bila kufuata utaratibu. Anyway, just joking. Wish you nice charisma!