Wanaume komeni kututisha

Wanaume komeni kututisha

Hapo tu ndipo wanaume mwaniacha hoi,,, ukifanya mapenz na mwanamke ukabaki salama eti umemtafuna. Akikuachia uwaya unaanza kujiliza eti mwanamke yule mbaya. Jaman, know that uasherat na uzinzi c kwa mwanamke tu, Ni kwa wote.

Halafu, muwe mnasema " tumetafunana" sio umemtafuna!!!!!!!!
Haha 'tumetafunana' hii kauli ni sawa ila akili ya mwanamke wa kiafrika ni huwa nafanyiwa ndo maana kila siku humu vilio vya amechezea muda wangu, mara kanizalisha akaniacha.
 
Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
Pole sana!, kumbuka una miaka mitano mbele ya "KUISOMA NAMBA!". Umeleta mineno mizito mizito ndio nini thatha? hata mie natumia kigezo hicho unachokikemea na huwa sikubali mwanamke kunipanda kichwani. Samahani ila nilikuwa nachangia mada tu!
 
Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
 
Lady in reeed is dancing with meee
Daa kale kawimbo katamu saana
Btw kila mwanadam ana principals zake katika maisha.maisha ya uchumba yana changamoto nyingi saana kuwa mvumilivu kama ipo ipo tuu
 
Hivi nyie wanaumee zina watosha kweli?

Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?

Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.

Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.

Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Halafu mulivo wajanjaa muna tujengaa ki saikolojaa kua wanawake ndo wanashida ya ndoa.

Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.

Habari ndo hiyo.
kimaumbile wanawake mnachoka mapema mara baadaya kuzaa watoto ndiyo maana tunasema mwanamke ni muhitaji wa ndoa maana umri ukizidi kwenda huku bado haujapata mume jua thamani yako inashuka pia maana watakuja wadogo zako wataolewa ww bado hupo hapohapo kwahiyo kuwa muangalifu na muda yani umri
 
Hapo tu ndipo wanaume mwaniacha hoi,,, ukifanya mapenz na mwanamke ukabaki salama eti umemtafuna. Akikuachia uwaya unaanza kujiliza eti mwanamke yule mbaya. Jaman, know that uasherat na uzinzi c kwa mwanamke tu, Ni kwa wote.

Halafu, muwe mnasema " tumetafunana" sio umemtafuna!!!!!!!!
ha ha haa aya bwana, but ukwel utabaki palepale mwanamke hawez shindana na mwanaume. Haya mashindano mnayoyaleta ndio maana ndoa zimekua chache now days
 
ha ha haa aya bwana, but ukwel utabaki palepale mwanamke hawez shindana na mwanaume. Haya mashindano mnayoyaleta ndio maana ndoa zimekua chache now days
Jiwe jeus una mambo. Sie hatutak mashndano and mie naamini ktk bible kwamba mwanaume n kichwa but nyie mwataka kujifanya wajanja zaidi.
Mkiambiwa ukweli mnapanic.
 
Back
Top Bottom