The King of Jews
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 478
- 108
Hiz bangi hizi
Pole sio wanaum
Ni kweli kuna wanaume wana jielewa lkn kuna weng aisee ni majibuPole sio wanaume wote.....!
Ungejuaa walaa sio mwanaume.na hayo maneno deep down unaona ni ya kweli kama una tabia hyo jirekebisheMwanaume katika ID ya kike huku akiongea shombo juu ya wanaume wenzie.. Jf bhana
Walaa Ila nime kerekaa na ma thread ya kila leoo ohh sijui mwanamke amefanya hvi na nilikua na malengo naeHuyu sijui kama hajapigwa kibuti

Hiz bangi hizi[/QU
Ukweli mchungu
Boraa ukimbie kabisaNapita Tu![]()
![]()
Kwema lakini lady in red 10Boraa ukimbie kabisa
True lkn wanaume wengn wana jifanya kama wana tusaidia sana kutuoa wakati ndoa ni contract of two people, kwa maana hyo hata sisi wanawake tuna option ya kuchagua wanaume.sio nyinyi mjifanye ndo mnatu okoa kwa kutu oawhy uwe stressed na mahusiano wakati ni kitu cha kawaida tu ? tatizo watu mnapenda kuishi imaginary life matokeo yake maigizo kibao utavuruga na kuvurugwa tu.
ndoa ni uhusiano kama uhusiano mwingine ila una taratibu na miiko yake
ila kuna watu humu ni bendera fuata upepo sana. yani wa kwanza kasema mgeni basi comment kama kumi za mwanzo ni ugeni tu. si lazima kila thread uchangia jaman..
Narudi kwako mleta mada, ukizingua lazima uachwe tena siyo kutishiwa labda umtembelee mwenzako kwa magoti (rejea hesabu za sensa)
ukiona ye anazingua nawe tembea tu kama vipi. Hapa kila mtu anaangalia maslahi yake, hii ishakuwa biashara siku hizi hakuna kuvumilia hasara.
Kwema lakini lady in red 10[/QUOTE
Kwema mkuu
Ww tenaa lolNaunga mkono hoja
Lol,wala sija achwaa nduguMwanamke unafoka hivi aisee wewe lazima uachwe tu hakuna namna