jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Wanaume tupo wachache tena tulio kamilika, inabidi muwe nanidhamu mtaolewa mkileta za kuleta mtatafunwa nakuachwa daily.
Utafikiri bila hzo ndoa hatuishi..khaaaUmeona eenh
Mkuu avatar yako tupunguza jazba kwanza alafu utape yaliyokusibu nini tatizo?
Tumechokaa mambo ya kutishiwaa banaaWe sijui nikupige kibao cha uso,umeniudhi sana i swear,embu rekebesha kauli zako za ajabu ajabu hivi mtoto wa kike unakurupuka tu kuongea mashudu.
Wata elewaa tuu tume anza na campaign ya vibamiaa mengine yatafataUlikuwa wapi siku zote? Wangekwisha jirekebisha hao hahahahahaaa mbavu sina
Hahahaha aiiii wewee sio vzrNilikua na nia na wewe uwe waifu, ila kwa siredi hii umejiharibia.
mkuu ungemwambia muhusika mwenyewe ingekuwa poa zaidiHivi nyie wanaumee zina watosha kweli?
Kila siku kazi yenu kutisha wanawakee maraa oohh ameji haribiaaa nilikua na mipangoo ya kumuoa, Kwani hizo ndoa tuna hitaji peke yetu nyie vipi? Hamu hitajii?
Kwa taarifa yenuu musitutishee na hizo ndoaa na mkome tabiaa ya kujifanyaa muna tusaidiaa muki oa wanawake.
Ume nipenda at ur own risk, sio nifanye makosa kidogo ohhh..nilitaka kumuoa lakini kajiharibiaa.
Sikieni, huu sio wakati wa ujimaa this is 21 century women have a lot of options ndoa sio kila kitu.
Kama jinsi mwanamke ana hitajika awe mwema ili aolewe na nyinyi muwe wemaa ili tuwakubali.
Habari ndo hiyo.
Ndo hapo munapo nichosha, why you guys acts like ur doing us a favor? Ndoa ni makubaliano ya wawili, ss ww una hashuka ooh kaji haribiaa utajuaje kama na yy alikua ana kuchora tu na yuko na ww kwa sababu?Hautishwi ila ndivyo ilivyo, mume atakuoa wewe, nawe utaolewa na mume, sasa asipotaka mume utaolewa na nani? Utakua umejiharibia kwakua bado unasubiri kuolewa kwa hamu Kubwa. Sasa kwa jeuri uliyonayo subiri saaana kuolewa. Mume ni mume nawe utabaki Kuwa mke.
Hii women empowerment hii![]()
![]()
![]()
Wewe utakuwa ni member mzoefu ila umekuja na ID mpya.Wata elewaa tuu tume anza na campaign ya vibamiaa mengine yatafata
Hawa huwa wanaoa wapate msaidizi wa kazi nyumbani.Hah
hahahahaha usilo lijuaa, mm mna niudhi kuji fnya muna tusaidiaa sanaa kutu oa wakati hata nyinyi muna shida ya kuoa. Ngoma droo
hata mimi nilikuwa na nia nawewe ila umejiharibiaa teh teh tehWalaaa nawapa za uso wanaume wame kuaa too much kila thread nilikua na nia nae kaji haribiaa
Hata mie nahc, au yaweza asiwe yeye but imemuudhi sana. Kiukwel hata mie yule jamaa kani bore.Mtoa mada ni wewe ulimpiga yule jamaa 40,000/= akaja kusema umejiharibia?