Wanaume kazini

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,128
Hapa lazima uwe na utimamu wa mwili.

Yanafanyika mengi magumu ili askari wawe fit waweze kulinda raia na mipaka ya nchi.

Hebu tupende na kuheshimu askari wote wanafanya na kupitia mengi kwa ajili yenu, mengine ni makosa ya kibinadamu

1464978977848.jpg
 
Yaani maisha kama haya unawafunza watu watumikie vikosi maalum kwa mafunzo ya uweledi wa hali ya juu na gharama kubwa unampeleka ughaibuni kwenye mapambano anadunguliwa na mtu asiye kuwa na mafunzo wala nini na kuwapa hasara kubwa!
 
Kama hujui kitu ni bora usitoe coment kwa ujasiri . Kama hujui uliza.
 
Back
Top Bottom