Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,526
- 21,069
Katika hali isiyo ya kawaida bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha sheria ambayo itazifanya jinsia zote mbili kufanya mambo kwa usawa.
Sheria hiyo inaagiza kuwa kuanzia tarehe 1 July 2012 wanaume wote watatakiwa kukojoa wakiwa wamechuchumaa ili kuondoa kushamiri kwa mfumo dume! Ye yote atakayekiuka sheria hii na kuthibitishwa mahakamani atapata adhabu ya kuchuchumaa kwa muda usiopungua miezi sita na usiozidi mwaka mmoja chini ya uangalizi wa askari mwanamke!