Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

Bila shaka wewe hupajua Zanziba wala Mikoa ya Pwani, mbona hayo ni mambo ya kawaida tu, posa zinaletwa kisha unachagua na kama Mzazi ni Mhafidhina basi inakula kwako mazima maana anaweza kuchukua mahari yake na wewe ukapelekwa kwa mume utake usitake.

Mfumo dume upo na unafanya kazi.
Ndiyo maana bado upo kwanza unamsubiri yule mchumba alete posa ndo ukubali
 
Personally naamini sura na figa are just exterior attributes which can easily change over time ukilinganisha na interior attributes za mtu like tabia , so i will go for neither sura nor figa!
 
black-women_-club_.gif


Kwa kawaida wanaume hasa wa nyakati hizi za DOT COM wanapochangua mwanamke wa kutoka naye au mwenza kila mmoja anakuwa na vionjo vyake vinavyomletea mshawasha hadi kumtokea mwanamke huyo. Wapo wanaoangalia sura zaidi, lakini umbo siyo kipaumbele chao, lakini wapo wale ambao sura wala haihuu wao ugonjwa wao mkubwa ni figa kama bazazi Asprin, KakaKiiza, Mentor, jouneGwalu, watu8 na wengineo ambao nimeghafilika majina yao.

Swali langu hapa ni kutaka kujua, pale linapokuja swala la kuvutiwa na mwanamke, ni viwango gani vinashika namba one kati ya Sura nzuri yenye kuvutia kama hii:

images


Au figa inayolipa kama hii:

Anita%2BJoseph%2B-%2BSimply%2BSAMAD%2B-%2BTha%2BNaija%2BPOET%2B(3).jpg

Mwanamke ni upstairs bana,sura na figure tutavumiliana tu,afterall hizo variables mbili i.e. sura na figure sio za kudumu,baada ya muda flani huwa zinabadilika sana tena unaweza hata ukapanic ukidhani sio yuleyule aliyekuwa anakupagawisha
 
Bi Zinduna acha uchokozi. Mi napenda sura bhana, figa mchina si yupo? biasha ya kumnaniliu mtu huku sura yake umeifunika kwa mto nani anaitaka? Huchelewi kuua watoto wa watu bure.
 
Last edited by a moderator:
Bi Zinduna acha uchokozi. Mi napenda sura bhana, figa mchina si yupo? biasha ya kumnaniliu mtu huku sura yake umeifunika kwa mto nani anaitaka? Huchelewi kuua watoto wa watu bure.

hahahaha! Babuu! Unamuweka mask unaendelea kufaudu! We huoni kila unaposhika mtoto katunatuna loh! Mchina majanga!
 
Last edited by a moderator:
FIGA? Kwani majiko yameanza kuwa na mafiga ya kudumu? Sura...! Kwani ndoa ni mashindano ya ulimbwende, niseme atakuwa wa mwisho.
Ikiwa kama akili yako ni fupi, pisha usigande njiani.
 
Figure ndio mpango mzima, sura naweza kuvumilia. Mwanamke mwenye sura nzuri halafu ta.ko limepigwa pasi, kifuani ana ''twin tower'' wa nini? Hakuna hata mzuka hapo.
 
Mim ningekuwa mwanaume ningechagua mwanamke kulingana na uwezo wake wa kufikilia na jinsi anavyoweza kupambana na changamoto za maisha hasa kwenye swala la kipato...

Pili ningeangalia tabia..

Huyo ni Partner wa Biashara
 
Reception ndio mpango,umbo hubadilika kwa haraka.unaweza kumuoa mwembamba akawa mnene visa versa
 
Mkuu ni kweli ni swala gumu....nakubaliana na wewe!

Hata unavyosema sura inaongoza....ni sura ya kiwango kipi? Unapima vipi kuwa sura hii ni nzuri, nzuri sana, nzuri sana sana sana?!

Kila kiungo kiwe usoni kiwe kizuri!
 
Hivi unafikiri mbele unawekewa masogange na jokate,unafikiri yupi ambae wanaume watamkimbilia??, shape ndo mpango mzima sura hata mbuzi anayo
 
sura na figga kama Kim kardashian its my fantasy
sura
Kim-Kardashian-Pregnant-665x385.jpg


figure
o-KIM-KARDASHIAN-KANYE-WEST-570.jpg


kanye aliniwahi aisee

Ila ndio saa zote kumpigia simu na viujumbe...uko wapi? napiga simu hupokei kwa nini?....yule uliyekuwa unaongea naye nani?.....and the list goes on and on....
 
Wewe sasa unadanganya, mbona mie posa zinaletwa nyumbani kila uchao lakini nakataa kwa sababu bado nipo nipo tu!
Qualitiees za mwanamke wa kuoa ni tofauti na yule hawala/mpenzi/fisi etc etc. If she is just for leisure, figure ni muhimu, but if she is for life, mwanangu kuwa makini, hapo tabia ndo kila kitu.
 
Kwa upande wangu sura yake na figa yake abaki nayo,anijie na tabia njema,hiyo sura nzuri anaweza kwenda kukutia aibu kwa tabia yake ukajuta kumfahamu..........
I have always questioned people with this mentality hv unalala na sura&umbo au tabia huwezi kunidanganya kuwa unapomuona mwanamke the first time hadi ukaamua kumsarandia eti cha kukuvutia kwake ni tabia huku ni kudanganyana 2 figure ndo kila kitu huwezi kuniambia nikubali janamke sura mbaya umbo baya eti kisa ana tabia nzuri :angry:
 
Back
Top Bottom