Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Du....Makubwa! Lakini afadhali kuoa kisu kuliko bunduki...!!
Its all the same my dear maana naamini ndani ya ndoa shurti wote muifurahie sasa kazi ya kisu ni kukata sidhani kama utakua na raha kama umeoa mwanamke ambaye kutwa kazi yake ni kama kisu na kama utaoa bunduki you will die Prematurely.
You better choose wisely maana ndoa ni hatima yako