Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

Wanaume katika kuchagua mwenza: SURA AU FIGA?

Mimi kinachonivutia kwa binti ni intelligence aisee, uzuri unategemea na mtu, mabinti wazuri ni wengi sana duniani, ila mzuri kwangu anaweza kua kituko kwa mwingine n opposite is true.. Nikupe mfano wabongo wengi nasikia wema, lulu, mara wolper, mara uwoya, sio chuki wala nini ila nikiwaangalia sioni uzuri, naona mtu ka kavimbavimba tu uso.. No offense.. wapo wasichana ambao nawaona wazuri wengi sana, kama hako ka pili umeweka hapo.. ila akiwa anaishi maisha feki feki ya kujipiga picha kuonyesha matiti facebook au wale wanaigiza maisha ya kimovie movie namuona wa ajabu.. Uzuri wa mwanamke bna, mwanaume akishamvua tu mara mbili tatu ule uzuri unapotea, hilo kila binadamu anajua... Ila kama kuna features nyingine ndio kama mimi navutiwa na intelligence inakua inanistick pale pale..
 
Mwanamke figa, sura hata shilingi inayo!!!

hahaha! Sasa shilingi inasura gani zaidi ya tupicha tule? Ebo! Mwanamke sura babu! Figa zingine mmmh hata hazielewekagi!!
 
Mim ningekuwa mwanaume ningechagua mwanamke kulingana na uwezo wake wa kufikilia na jinsi anavyoweza kupambana na changamoto za maisha hasa kwenye swala la kipato...

Pili ningeangalia tabia..

Wewe mchaga eh.
 
Mimi bado ninauzazi na ninamuogopa mungu katika kazi yake yeye anajua kwani penye mapenzi ulemavu waina yoyote huwa tunauweka Kando! Zinduna hebu jitazame vizuri utajikuta unakilema hivyo huna mpenzi??
 
Last edited by a moderator:
Ikumbukwe daima,wenye sura nzuri,figa ni mbovu.Wenye figa mbovu sura sio!

Wenye sura na figa bomba,kwenye mapenzi ni wabovu. Wenye sura na figa sio,kimapenzi ni moto wa kuotea mbali!hili ndio kundi linalochaguliwa zaidi.Tafiti!

Napingana nawewe huwa ni mtazamo tu. Na huwa si wote hutokea kwa wachache, ila watu tunachukulia kwa jumla.
 
Wewe sasa unadanganya,
mbona mie posa zinaletwa nyumbani kila uchao lakini nakataa kwa sababu
bado nipo nipo tu!

Nani kakwambia wewe mzuri? Au wewe ndo unajiona mzuri?
 
Tunatofautiana mi hata sijajua sura na figa kipi kitanivutia.

Lakini one thing for sure tabia njema na akili ya maendeleo mengine yatafuata.
 
vyote viwili!

Mwanamke defined kama jackline wolper, is my choice!

Awe mrefu..!

jackie-jacqueline-wolper.jpg




awe awe na figa njema..!

Mwenye tabasamu muda karibu wote!

z


awe romantic..

jackline_wolper.jpg


just as an example!

431455_101074093375971_1250142259_n.jpg


hivyo ni primary qualifications kabla ya tabia!

ubarikiwe...
 
kazi ni kwako, kibaya kwangu kizuri kwako,,, kibaya kwako kizuri kwangu...
 
Kama unaoa kwa kigezo cha uzuri TU.. una hatari! Uzuri hauwezi kuleta maendeleo, maelewano, amani na upendo ndani ya nyumba!!!
Japo wengi tunaangalia uzuri, tabia ni namba moja!
 
Kikubwa awe fit upstairs bhaasi mambo ya sura cheche Tu,Mara sijui miguu!!!!!

Mwanamke awe na akili timamu tena anayejitambua haswaaa,figure sijui miguu hata Meza inayo
 
Back
Top Bottom