Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,016
- 110,640
Wallah Mwenyezi Mungu kweli fundi....sijui niuze shamba la urithi miye nimpate huyu mlimbwendeeee
Unaweza ukadhani kanguo hako hakamtoshi, kumbe ndio ufundi wenyewe huo wa Maulana....
Hebu ona toto lilivyojaaliwa neema zote za Allah, kuanzia utosini kuja maungo yake ya kati hadi unyayoni...