SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Sura/Reception ndio kigezo muhimu sana kwa upande wangu.
Hayo mambo ya shepu sijui hajui kupika hayana msingi kwangu.
Kama hajui kupika nitaingia jikoni mwenyewe nipike.
Kama hajui usafi wa nyumba, basi nitachukua fagio nifagie mwenyewe.
Sura/Uzuri kwanza. Mengineyo baadae