sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
cutelove usiku mwema ngoja nikuache na hawa jamaaMwenyewe
cutelove usiku mwema ngoja nikuache na hawa jamaaMwenyewe
Hahahahah,imekutach
Usipende namba kaka angu
Umeongea vizuri...lakini hata mkeo lazima uwajibike kumletea vizawadiTafuta mwema miongoni mwao akuweke ndani fedha,zawadi,hazina maana yoyote kwako jiulize mpaka sasa umepewa vingapi,umefanya jambo gani la maana.
Jaribu kujiepisha na hali hii vinginevyo itafika wakati utaona watu wabaya hususani pale mahitaji yako yasipotekelezwa, lakini pia unajivunjia heshima na kukosa thamani sababu ili upate msaada lazima utumikishwe ngono,
UmenioneaTapeli wa pesa tu wewe huna lolote... Unapokaa mwezi nila kutafunana kwa sababu zako za uongo, unataka mwenzio akuelewe wewe, wewe usimuelewe yeye... Invoice unazituma tu... Akikupa nae atakua bwege tu... Unataka kuniambia huo mwezi wewe unamkazia mwenzio hakuna unakogegedwa..?.
Muda ambao wewe hutoi tunawapelekea wanao toa.
Siku ukitoa wale hawapati.

Wewe jamaa nakutunuku degree ya haya mamboTafuta mwema miongoni mwao akuweke ndani fedha,zawadi,hazina maana yoyote kwako jiulize mpaka sasa umepewa vingapi,umefanya jambo gani la maana.