Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,911
- 183,311
Atakuwa kamuiga babu yake.Ndiyo ujue huu uko wenu wa nyoka Huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa kamuiga babu yake.Ndiyo ujue huu uko wenu wa nyoka Huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili sio tatizo la wanawake tu, hata wanaume.Wanawake tunapotoka sana, kuna mambo ya kusimuliana lakini si ya chumbani yaani unamsimulia rafiki yako ili iweje sasa?
Sina hizo tabia mimiAtakuwa kamuiga babu yake.
NakusalimuWanawake tunapotoka sana, kuna mambo ya kusimuliana lakini si ya chumbani yaani unamsimulia rafiki yako ili iweje sasa?
Tena zako zimepitiliza.Sina hizo tabia mimi
Katika jina la bwana hahahahaaa, vipi hujambo?Nakusalimu
Sijambo lady. Long time no see youKatika jina la bwana hahahahaaa, vipi hujambo?
[emoji15] [emoji15] Kwaiyo me nmekua mzungu???Inna huyo
AiseeeeeeeehNakumbuka nilifundishwa kukisa na girlfriend wangu mzungu.
Tulikuwa tunakiss hata lisaa limoja hadi tunalegeaaa.
Daaah em moment.
Afu nikawa napenda kumeza mate yake balaa. Ila alikuwa hajui so nilikuwa namuweka juu ili akinidendeka iwe rahis kwa mm kuyapata kiulaini.
Up to now nikimpata mtoto mkali laZima nimtrain pole pole hadi apende ae njoy hii moment
Nambie mrembo wangu wa nguvu[emoji15] [emoji15] Kwaiyo me nmekua mzungu???
Inna wangu uliendaga wap[emoji15] [emoji15] Kwaiyo me nmekua mzungu???
Huyo rafiki yako anafanya mapenzi na Vimpires halafu anasingizia wanaume.Habari wana jamvi,
Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?
Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...
JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Hawa ndio wale ambao wanawaadithia shost zao jinsi walivyolala na waume zao.Mmmh!
Wanawake tunahadithia mengi hivi??
Itabidi kuwe na shule maalumu ya utunzaji wa siri za ndani
Inna huyo atakupoteza aisee umeona mambo yake si yakitotoAiseeeeeeeeh