Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,911
- 183,311
Tuisome sie kwani sie ndio tumehamia kwake au wewe!!!Mtaisoma namba tu...[emoji4]
Dedication: mbele kwa mbele Mh. Komba [emoji4]
Tuisome sie kwani sie ndio tumehamia kwake au wewe!!!Mtaisoma namba tu...[emoji4]
Dedication: mbele kwa mbele Mh. Komba [emoji4]
Sio kweli
Yani hadi kitu kidogo cha kurekebishana huko huko ndani mtu anaenda kusema kwa best ake ...ona kama hii thread
Nafikiri ndio maana hatudumu siku hizi
[emoji57][emoji57]Tuisome sie kwani sie ndio tumehamia kwake au wewe!!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Karibu nyumbani weekend sis
[emoji12] [emoji12][emoji57][emoji57]
Sister ntakuchapa walai[emoji12] [emoji12]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwako au kwa jimama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wana jamvi,
Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza liulimi lake bila hata formular hadi mwishowe unastuka amekujaza mate karibia uso wote yani hadi pua, hivi kwanini wanashindwa kujifunza better way?
Hii story nimeipata kwa rafiki yangu mmoja, yani huyo boyfrend wake akimkiss hadi mood yote inakata...
JAMANI JIFUNZENI KUKISS SIO MNAKURUPUKA TU MNABOA WATU.
Aunty tabia mbaya umeanza lini?Kutoka moyoni Hamna kitu nachopenda kwenye sex jamani kiss hahaaa has a has a za shingoo sasa nikikutana na huyo sokomoko si atanilizasa
Siku hizi mambo ya chumbani kuwekwa nje imekuwa kawaida sana. Ila tujifunze kutunza ya ndaniSijawahi kuhudhuria kitchen party hata moja ...hata sijui
Hivi na uzee huu bado unaweza kunichapa? Ukoo utakulaani.Sister ntakuchapa walai
Ndiyo ujue huu uko wenu wa nyoka Huu [emoji23][emoji23][emoji23]Aunty tabia mbaya umeanza lini?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umepiga 3-bashite[emoji85]...Tuvumilieni tuu wapendwa, kama sisi tunavyowavumilia tukizama uvinza, si mnaonaga wakati mwingine tukitoka huko machimbo uso mzima unakuwa umechafuka utafikiri umemwagiwa bakuli la mtindi?