Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri povu lao
 
Ila kweli ujue.
Daby kitendo alichofanya kimeshusha heshima sana daaah! Ila Inna ni muelewa sana ndio maana anachukua muda kufanya maamuzi.
Daby kaisha. Kakamatwa na jimama kazama mzima mzima
Kwakweli wanandugu inabidi tukutane kwa kikao cha dharura, na mtakatifu uendelee tu kupiga maombi maana hali sio nzuri.
 
Kama huyo mwanaume kashindwa kukuhudumia njoo uishi kwangu na wifi yako...hatuwezi kuwa na shemeji mwanaume suruali sisi
Hajanishindwa na hawezi kunishindwa wewe!! Jukumu la kaka huwa halifi.

Yaani nije niishi kwa jimama!! Alafu tunakuwa wote tumeolewa au[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Naunga mkono maana kuna siku mama mmoja alisimulia mambo ya chumbani na mmewe nkajikuta natoaa machozi tu...wanawake tumefika pabaya....zianzishwe Shule tu za kujifunza namna ya kutunza siri
Huyo mama alihadisia nini?
 
Naunga mkono maana kuna siku mama mmoja alisimulia mambo ya chumbani na mmewe nkajikuta natoaa machozi tu...wanawake tumefika pabaya....zianzishwe Shule tu za kujifunza namna ya kutunza siri
Yani unaweza kujikuta kisa kimehadithiwa mtandaoni na ukiangalia ni kama chako na mwandani wako....aibuu
 
Hajanishindwa na hawezi kunishindwa wewe!! Jukumu la kaka huwa halifi.

Yaani nije niishi kwa jimama!! Alafu tunakuwa wote tumeolewa au[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Uwiiiiiiiii kwa hahaha!!
Eti kipenzi uende ukawekwe ndani wewe na daby?khaaaa say no to rashizim
 
It is now getting out of hand to diss each other for no good reason at all. Wanaume hivi wanawake vile ali mradi imeshakuwa tabu. Duh! so much negativity about relationships these days.
Yani hadi kitu kidogo cha kurekebishana huko huko ndani mtu anaenda kusema kwa best ake ...ona kama hii thread
Nafikiri ndio maana hatudumu siku hizi
 
Back
Top Bottom