Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili ni wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kukianda jinsi ya kustafu kwa heshima uza mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao.
Eeh basi ni balaa kumbe wakishatuchosha na magubu yao wanatukimbia tena na kututelekeza isee..Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili ni wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kukianda jinsi ya kustafu kwa heshima uza mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao.
Mkuu elezea viziri tragedy ndo nini kwa haya maisha yetu.Watu weusi nyie ni lini mtaanza kuishi badala ya kusukuma siku?
Everything is tragedy
Unaonaje ungewahimiza wapiganie mabadiliko ya mfumo na uwajibikaji serikali ili na sisi tuwe na mifumo ya kustaafu kama Ulaya ambapo mtu akistaafu anaishi maisha ya raha? I mean hili jambo la kuhimiza kila mfanyakazi awe na kitega uchumi cha kumsitiri wakati wa kustaafu practically haliwezekani na siyo suluhisho la kudumu ila ni matokeo ya kuwa na uongozi mbovu. Tujaribu kutatua tatizo ni siyo kulizunguka.Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kujianda jinsi ya kustaafu kwa heshima uza baadhi ya mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao. Kwa kweli nime umia sanaa mzee kajitahidi sanaa kutunza familia uwe first class nyumba yake ni 300m to 500m worthy ila bado maiti iko hospitali next of kin bado hawajafika hi ni siku ya pili.
Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kujianda jinsi ya kustaafu kwa heshima uza baadhi ya mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao. Kwa kweli nime umia sanaa mzee kajitahidi sanaa kutunza familia uwe first class nyumba yake ni 300m to 500m worthy ila bado maiti iko hospitali next of kin bado hawajafika hi ni siku ya pili.
Kajenga kwa mkupuo ,nyumba kama hiyo ina thamani ukijenga ukiwa na miaka chini ya 40 yaani una miaka 20 au 15 mbele kazini...Ukijenga kwa pesa za kustaafu utajuta.Wengi wetu hatuelewi Kuwa ni wajibu wetu wazazi kutunza na kusomesha watoto lakini sio wajibu wa mtoto kutunza mzazi.Somesha huku na wewe ukiweka akiba Yako pamoja na miradi Yako ya kukupa mtindi wa kusogeza uzee.Huyo Mzee nyumba ya 300m inaonekana alikuwa vizuri kiuchumi ameshindwaje kuweka mazingira ya watoto Kuja kukopa kwake hata kama Wana kazi zao?.
Nimelia 😂😂😂🥲Hao wadudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao
Mkuu wataka uanze maandalize ukiwa na umri gani?Eti 45 uza mali zako utunze pesa! How old are you? 21? Subiri ufike 45 halafu ufuate huu ushauri wako.
Mzee alikua meneja wa tasisi kubwa fulani nxhini alipenda kuishi first class life, ila watoto wake ndo wamemsaliti.......sisi katika Dini yetu ni jukumu la mtoto kuntuza mzazi wake.Wengi wetu hatuelewi Kuwa ni wajibu wetu wazazi kutunza na kusomesha watoto lakini sio wajibu wa mtoto kutunza mzazi.Somesha huku na wewe ukiweka akiba Yako pamoja na miradi Yako ya kukupa mtindi wa kusogeza uzee.Huyo Mzee nyumba ya 300m inaonekana alikuwa vizuri kiuchumi ameshindwaje kuweka mazingira ya watoto Kuja kukopa kwake hata kama Wana kazi zao?.
kama hii taarifa ni ya ukweli basi shida ipo, nadhani tatizo ni kwenye hiyo familia ilai mimi ni mstaafu unachosema ni sawa kabisa ila kuna hela alikuwa anapata kila mwisho wa mwezi alitumiaje maana hana tegemezi ? pia ana bima ya afyaUkitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kujianda jinsi ya kustaafu kwa heshima uza baadhi ya mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao. Kwa kweli nime umia sanaa mzee kajitahidi sanaa kutunza familia uwe first class nyumba yake ni 300m to 500m worthy ila bado maiti iko hospitali next of kin bado hawajafika hi ni siku ya pili.
Baba anamakosa ya kujisahau na kuwekeza sanaa kwa familia yake kwa kusomesha wstoto na kuwajengea.Umeweka emotional na judgement nyingi kwenye huu uzi. Ila trust me, makosa kwa hio case yako yapo kwa both watoto na huyo marehemu mwenyewe