Wanaume jamani naomba mtuache tupumue basi

Sitaki heshima yako!

Nikki...unamjua Nicki Minaj? Sasa huyu ni mbongo...sura kwa mbali kama Rihanna na umbo kama Beyonce. Mashauzi kama Nicki. Akili kama Marie Curie. Ah Nikki..ulichomfanya kaka yangu, Mungu anakuona.

maybe siku moja nitawasimulia...huwa sipendi kuandika visa ambavyo havikunitokea mimi directly ila nahisi kwa Nikki nitafanya exception.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Shauri yako. Nisipokuamkia ntaanza kukuita bby bure.
Kumbe Nikki wenu. Mwenyewe nikaanza kuhisi ni Nicole Franklyn.
 
Sawa utatuita tusomee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Shauri yako. Nisipokuamkia ntaanza kukuita bby bure.
Kumbe Nikki wenu. Mwenyewe nikaanza kuhisi ni Nicole Franklyn.

Ngoja nimgoogle. Kwani ana stori inayofanana na #4?

Ewaaa....hilo ndo jina sasa. Mtu nimekupita miaka mitano tu uanze kunizeesha hivyo? Halafu kesho uje kuniambia, "mtu kama wewe huwezi kuwa singo" wakati potential wote mnaniamkia.
 
Watu wanamcheka kuolewa na Mwinjaku,ndio nani
 
Ngoja nimgoogle. Kwani ana stori inayofanana na #4?

Ewaaa....hilo ndo jina sasa. Mtu nimekupita miaka mitano tu uanze kunizeesha hivyo? Halafu kesho uje kuniambia, "mtu kama wewe huwezi kuwa singo" wakati potential wote mnaniamkia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Okay bby. Tunasubiria story ya Nicole
 
*WANAUME*
1. Kama hauna hela uwezekano wa kuoa wewe ni asilimia 0%.

2. Kama una hela basi uwezekano wa wewe kuoa basi ni asilimia 100%.

3.Kama hauna hela na Umeoa, uwezekano wa Kuwa Mwaminifu ni 90%

4. Kama una hela na Umeoa uwezekano wa kuwa mwaminifu ni 0%.

Hivyo basi tukiwa na pesa na wanawake wengi ni sawa na sahihi mtuache tule mema ya nchi
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua za kweli...

No 7. Mwanamke bado anakua mdogo/mdada wa kawaida.

No 8. Mwanamke anakua ameshaanza kuchoka, hata akili yake haiwazi zaidi kujenga familia. Ni mwendo wa kama mbwai na iwe mbwai...

No 9. Mwanamke hapa kuzaa anakua mbishi sana kwa sababu umri ushakwenda. mbibi kabisa.

No 10. Ashakua scraper, hawazi chochote kuhusu familia, hakuna cha maana anachofikria zaidi ya tafiti zake na mambo yake.

Cc: mahondaw
 
Sana. Ukiniletea mchele na samaki na nazi unanioa. Hadi natamanigj niolewe na mpenda awe analeta mchele tu na wali nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hakuna kutoa pesa ya Mahari, ni mchele, samaki na nazi tu. Naviandaa nakuja navyo
 
Back
Top Bottom