Wanaume jamani naomba mtuache tupumue basi

Wanaume jamani naomba mtuache tupumue basi

Mwanaume hana kelele wala huwezi muona anatamba tamba kwamba nina PHD siwezi oa jike wa la saba.
Lakini majike wakipata hata diploma mtaa haukaliki, watu hawapumui.
 
[emoji23][emoji23] namba 14...siwezi kuacha kula..na uzuri Mwanaume wangu kaukubali ubonge wangu 100% kuolewa kupogo tu
 
Mwanamume ukiwa na mkwanja hata uwe na miaka 70 Una weza kuoa 20+ Raha Sana hii [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom