KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Wao nitamalizana nao vizuri tu, issue ni kwako wewe kwanza, haya nipokee, nifungulie gate, nimebeba hapa kiloba cha mchele samaki na nazi za kutoshaKwahiyo wazazi hutawapa asante yao ya kunilea?
Wao nitamalizana nao vizuri tu, issue ni kwako wewe kwanza, haya nipokee, nifungulie gate, nimebeba hapa kiloba cha mchele samaki na nazi za kutoshaKwahiyo wazazi hutawapa asante yao ya kunilea?
Mlango unafunguliwa sasa hiv kama una hivyo vituWao nitamalizana nao vizuri tu, issue ni kwako wewe kwanza, haya nipokee, nifungulie gate, nimebeba hapa kiloba cha mchele samaki na nazi za kutosha
Haya nifungulieMlango unafunguliwa sasa hiv kama una hivyo vitu